Kadampinzani asema: MBOWE AHOJIWE!

Kadampinzani asema: MBOWE AHOJIWE!

Status
Not open for further replies.
Kada mpinzani amejitahidi kutupa hoja yake ya Mbowe Kuhojiwa..hayo ni maoni yake binafsi kama yeye..kama na sisi tuna hoja zetu tofauti basi tuzitoe..lakini kumpinga yeye kama yeye na sio hoja yake ni kukosa kuelewa hoja yake ya msingi..

Mimi binafsi nisingependa sana Mbowe ahojiwe, ila najua watamuhoji tu...kwani hili suala sasa limeshatapakaa kila kona ya hii nchi kuwa CCM ni wauaji..pale mbowe alikua kama anaimba tu wimbo ambao umeshakua heat mtaani..umeshazoeleka na sio New CD...so naona kabla ya kuhoji waangalie kwanza hiyo mbinu wanayoitumia kama ina function au la maana sasa inaanza kupoteza imani kwa wananchi na wakiacha iendelee ivyo kwamba izoeleke kwa jamii kuwa CCM ni chinja chinja basi chama kitakua kwenye hali ngumu.


Huu ni mtazamo tu wanachi msijenge chuki''
 
Ukweli ni kuwa Serikali Haifikirii ,wala hina uwezo wa kufikiri. Wa kwanza kuzungumzia mauaji ya Balali ni Membe ambaye alikanusha kuhusika. Iwapo hujafanya jambo baya unajishuku nini? Mbowe hakusema hili kabla ya Membe.Serikali ingepaswa kumwuliiza Membe kwa nini kajishuku.

Hata wazee wa kule Iringa wanajua kuwa Balali hakufa natural death, wamemwua kwa sababu inayofahamika ya ufisadi. Mafisadi wenyewe ni CCm wala sio CUF wala Chadema. Hivyo Mbowe yuko right.Hajasema Kikwete kamuua Balali ,bali kasema ameuwa na mafisadi kama Chifupa alivyouawa na wafalme wa na madawa ya kulevya ambao ni vigogo wa serikali pia.

Serikali isithubutu kumgeukia Mbowe kwa hili kwa nia ya kujikosha .Wananchi tunajua yote , na wakifikiri kumhoji ua kumtishia kwa namna yoyote Mbowe tunajua ni kwa ajili ya yeye kupambana na ufisadi wala sio kusema hili alilosema.Ndipo watakopojua pilipili sio kachumbari.
 
Ur Brain should B in gear B4 Ur mouth is in motion. Tatizo tunatanguliza sana jazba, hasira visasi bila tafakuri jadidi. mtu kasema CCM wamemuua Ac na Balali, tukae kimya ili baadae kitokee nini, swala la mtu kuhojiwa lisihusiane na mtu kuchukiwa au la . ishu hapa iwe je hoja yake ina mashiko? wana JF nani anakumbuka enzi zile za Mtikila na sera za magabacholi? wana wa Nchi hii walipoanza kuwatupia mawe wahindi wote wapitao Dar, perssonally nadhani tukianzia hapo kwa Mbowe twaweza fika vinginevyo kila mtu aweza ongea la kwake kila kukicha na tusifike popote. Mbowe ahojiwe !
 
saa aliyesema hii habari mchanganyiko nani ? huyu mod atakuwa chizi !
 
Mbowe ahojiwe ili ufisadi na wizi wa ccm ujulikane. Kama kila mtu anakanusha kuwa hawausiki na wamekaa kimya, afadhali Mbowe ahojiwe na kesi iende mahakamani.

Mbowe ahojiwe.... mbowe ahojiwe ili wezi wa ccm wote wajulikane
 
Mbowe ahojiwe ili ufisadi na wizi wa ccm ujulikane. Kama kila mtu anakanusha kuwa hawausiki na wamekaa kimya, afadhali Mbowe ahojiwe na kesi iende mahakamani.

Mbowe ahojiwe.... mbowe ahojiwe ili wezi wa ccm wote wajulikane

haha kicheko umerudi ! camp vipi uliaga mzee ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom