Wakunyuti
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 380
- 13
Kada mpinzani amejitahidi kutupa hoja yake ya Mbowe Kuhojiwa..hayo ni maoni yake binafsi kama yeye..kama na sisi tuna hoja zetu tofauti basi tuzitoe..lakini kumpinga yeye kama yeye na sio hoja yake ni kukosa kuelewa hoja yake ya msingi..
Mimi binafsi nisingependa sana Mbowe ahojiwe, ila najua watamuhoji tu...kwani hili suala sasa limeshatapakaa kila kona ya hii nchi kuwa CCM ni wauaji..pale mbowe alikua kama anaimba tu wimbo ambao umeshakua heat mtaani..umeshazoeleka na sio New CD...so naona kabla ya kuhoji waangalie kwanza hiyo mbinu wanayoitumia kama ina function au la maana sasa inaanza kupoteza imani kwa wananchi na wakiacha iendelee ivyo kwamba izoeleke kwa jamii kuwa CCM ni chinja chinja basi chama kitakua kwenye hali ngumu.
Huu ni mtazamo tu wanachi msijenge chuki''