Bikirembwe
JF-Expert Member
- Feb 13, 2008
- 250
- 7
yaani the difference between hizo posts zako ni dakika 4, you expected me to write within 4 minutes of your request ? hahaaaa, anyway acha zako wewe mimi simjui mtu yoyote wa usalama, nitaandika usihofu !
Ufupi wa post zangu ni kuwa hujaelezea kitu na hiyo ilikuwa mara ya pili kukuomba uelezee huo ufisadi na hasa mimi nilisema nina shauku ya kujua ufisadi a Dr.Slaa na toka ulipoandika sijaona ulipota hizo shutuma zako na kuweka ushahidi.