Mkubwa hii ni tata kidogo. Hapa Tanzania kuna watu wengi wasio watanzania na hawana damu ya mtanzania na wanaijenga Tanzania. Lakini pia kuna watu wenye damu ya watanzaniaTunahitaji damu ya watanzania tujenge nchi yetu
Wakati umefika waruhusu tu uraia pacha tuMkubwa hii ni tata kidogo. Hapa Tanzania kuna watu wengi wasio watanzania na hawana damu ya mtanzania na wanaijenga Tanzania. Lakini pia kuna watu wenye damu ya watanzania
Mchango wa Diaspora utaonekana baada ya kundi hili kurasimishwa.Kalamu 1:
Tunaposema diaspora hakuna mapato wanayoingizia kama Taifa nimemaanisha ila kama unataka tuseme misaada hapo sawa.
Lakin tunapopima pato la Taifa yaani GNP na GDP tunamaanisha ,sasa ndugu zetu huko walipo hawaja invest chochote na hata kama wame-invest sisi hatufaidiki na nacho hata kidgo,kodi hatupati zaidi ya wao kutuma zawadi nyumban, sasa wakiwekeza nyumbani ile kodi tunasema na GDP bado.
Haya mawazo mgando tu, wapo watz wengi nje ambao wa mitaji na wangeweza kuchangia maendeleo ya nchi yao, kama tukirekebisha mawazo mgando ya kutoruhusu uraia pacha... jirani zetu Kenya, Diaspora wanaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa kutokana na sera rafiki za nchi hivyo mtu anajua akiwekeza nyumbani, anajua atasaidia ajira kwa nchi yake na pesa yake itakuwa salama...haya mambo ya siasa mgando zimepitwa na wakati... mambo ya eti kuwa na uraia pacha sijui itahatarisha usalama wa nchi ni propaganda laini tu, kwani vyombo vya usalama vya nchi, kazi yake itakuwa ni nini kama vitashindwa kuwadhibiti wale watakaojaribu kuhatarisha usalama!... Dunia yaenda kasi, na tumechelewa au nadanganya jamani....Watu wake wa karibu wamethibitisha amepata taarifa za utenguzi wa nafasi hiyo baada yakuthitisha yeye kwa Sasa ni raia wa Marekani.
Serikali sikivu usikiliza wananchi na ndio maana zamani enzi za mwalimu tuliambiwa serikali ipo kila mahali, maana yake serikili si viongozi Bali ni kila mwananchi .
Kweri kweri kabisa hujakosea mzee babaHaya mawazo mgando tu, wapo watz wengi nje ambao wa mitaji na wangeweza kuchangia maendeleo ya nchi yao, kama tukirekebisha mawazo mgando ya kutoruhusu uraia pacha... jirani zetu Kenya, Diaspora wanaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa kutokana na sera rafiki za nchi hivyo mtu anajua akiwekeza nyumbani, anajua atasaidia ajira kwa nchi yake na pesa yake itakuwa salama...haya mambo ya siasa mgando zimepitwa na wakati... mambo ya eti kuwa na uraia pacha sijui itahatarisha usalama wa nchi ni propaganda laini tu, kwani vyombo vya usalama vya nchi, kazi yake itakuwa ni nini kama vitashindwa kuwadhibiti wale watakaojaribu kuhatarisha usalama!... Dunia yaenda kasi, na tumechelewa au nadanganya jamani....
Nchi hawezi kuona positive contributions za Diaspora kama haijawakubali na kuwawekea mazingira wezeshi ya kuchangia katika uchumi. " unawezaje kukamua ngombe maziwa ihali humlishi" huwezi ku - expect the best out of nothing!Haya mawazo mgando tu, wapo watz wengi nje ambao wa mitaji na wangeweza kuchangia maendeleo ya nchi yao, kama tukirekebisha mawazo mgando ya kutoruhusu uraia pacha... jirani zetu Kenya, Diaspora wanaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa kutokana na sera rafiki za nchi hivyo mtu anajua akiwekeza nyumbani, anajua atasaidia ajira kwa nchi yake na pesa yake itakuwa salama...haya mambo ya siasa mgando zimepitwa na wakati... mambo ya eti kuwa na uraia pacha sijui itahatarisha usalama wa nchi ni propaganda laini tu, kwani vyombo vya usalama vya nchi, kazi yake itakuwa ni nini kama vitashindwa kuwadhibiti wale watakaojaribu kuhatarisha usalama!... Dunia yaenda kasi, na tumechelewa au nadanganya jamani....
Katika uteuzi wa Tarehe 21/04/2021 Mhe. Rais amemteua Kadari Singo ambaye anadaiwa kuwa Raia wa Marekani.
Je, huyu bwana ameteuliwa kimakosa au huko Marekani yupo special mission?
Kama siyo special mission kateuliwa kwa sheria gani inayoruhusu wageni kusimamia taasisi za umma? Jalada au jina lake limefikaje kwa Mhe Rais? Au katibu Mkuu kiongozi amempendekeza huyu bwana bila kujua utaifa wake?
Remittances za diaspora ni double edged. Rwanda ina remittances nyingi kwa sababu Watusi wengi walikimbia nchi yao kukwepa mauaji ya kimbari mwaka 1994. Susi hatuna mauaji. Diaspora wengi Kenya ni Majaluo wengi walikimbia utawala wa Rais Moi, remittances zao ni nyingi. Sisi hatuna.Nikuulize mkuu, Ngapi?
Mbona Tanzania huwa hatuamnbiwi mchango wa hawa jamaa kila mwaka unaingiza kiasi gani?
Hapo jirani yetu kaskazini, kila mwaka inajulikana mchango wa wananchi wao, 2020 ikafika hadidola za kimarekani bilioni 3 na zaidi!
Hapa kwetu kuna siri gani na hizi takwimu? Mbona kila kitu hapa ni lazima uhangaike kutafutiza?
Nchi hawezi kuona positive contributions za Diaspora kama haijawakubali na kuwawekea mazingira wezeshi ya kuchangia katika uchumi. " unawezaje kukamua ngombe maziwa ihali humlishi" huwezi ku - expect the best out of nothing!Haya mawazo mgando tu, wapo watz wengi nje ambao wa mitaji na wangeweza kuchangia maendeleo ya nchi yao, kama tukirekebisha mawazo mgando ya kutoruhusu uraia pacha... jirani zetu Kenya, Diaspora wanaendelea kuchangia kwa kiasi kikubwa kutokana na sera rafiki za nchi hivyo mtu anajua akiwekeza nyumbani, anajua atasaidia ajira kwa nchi yake na pesa yake itakuwa salama...haya mambo ya siasa mgando zimepitwa na wakati... mambo ya eti kuwa na uraia pacha sijui itahatarisha usalama wa nchi ni propaganda laini tu, kwani vyombo vya usalama vya nchi, kazi yake itakuwa ni nini kama vitashindwa kuwadhibiti wale watakaojaribu kuhatarisha usalama!... Dunia yaenda kasi, na tumechelewa au nadanganya jamani....
Samahani mkuu, lakini ni hoja ya kipuuzi, na sijui kwa nini umeni'quote' mahali ambapo hayo unayoeleza hayahusiani kabisa na mada yenyewe.Remittances za diaspora ni double edged. Rwanda ina remittances nyingi kwa sababu Watusi wengi walikimbia nchi yao kukwepa mauaji ya kimbari mwaka 1994. Susi hatuna mauaji. Diaspora wengi Kenya ni Majaluo wengi walikimbia utawala wa Rais Moi, remittances zao ni nyingi. Sisi hatuna.
Baada ya mapinduzi matukufu Zanzibar 1964, Waarabu wengi walienda Oman na Finland, Sultani aenda Uingereza. Hapo napo kuna remittances. Je, tufanye mapinduzi mengine ili tuongeze remittances? Kuna tundulissu na Gaspat Ngurumo, wakimbizi, nao wataleta remittances. Is this what we want? In short, remittances si kitu cha kushabikia sana.
On the other hand, Wachagga wengi hupekeleka remittances kwao nyongi wakati wa Christmas, hawalazimishwi ni haki yao ni raha yao. Ni kitu gani kinawazuia diaspora wetu Marekani na EU kuleta remittances? Kumbuka, remittances haziendi Ikulu wala kanisani, ni hela wanatumiwa ndugu zao kulisha wazazi wao au kujenga nyumba. Ni wajibu wai, ni ndugu zao.
Nchi yenye amani na mshikamano haina remittances. Kama zipo hazitangazwi kwa sababu hakuna sababu. Tusubiri za tundulissu.
Sio kweli vipo vitu/misaada wanayoitoa ila haitangazwi hata ule msaada wa thamani za shule ulioleta purukshani wakati wa Makonda ulitolewa na diasporaDiaspora hakuna kitu wanaingizia Taifa.
Zaidi Rais akitembelea nchi flani huwaalika kula chakula cha jioni na Mh.Rais au waziri aliyetembelea pale.
Bado kama Nchi hatujawatambua hadi turuhusu uraia pacha.Kenya katika hili wametupiga gape sana.
Ndugu yangu tunachoongelea ni mapato yao yanahesabiwaSio kweli vipo vitu/misaada wanayoitoa ila haitangazwi hata ule msaada wa thamani za shule ulioleta purukshani wakati wa Makonda ulitolewa na diaspora
Bado hujaipata maana ya hii mada. Jitahidi kusoma statistics za nchi nyingine. Wala usiende mbali jaribu kutafuta habari za diaspora wa Kenya utajiridhisha zaidi. Naona umeona fedha tu, hiyo siyo picha kubwa, zaidi tunachoangalia ni Transfer of skills and technology. Hili ni jambo ambalo nchi nyingi zilitambua na zikaweza kuendelea kiteknologia.Remittances za diaspora ni double edged. Rwanda ina remittances nyingi kwa sababu Watusi wengi walikimbia nchi yao kukwepa mauaji ya kimbari mwaka 1994. Susi hatuna mauaji. Diaspora wengi Kenya ni Majaluo wengi walikimbia utawala wa Rais Moi, remittances zao ni nyingi. Sisi hatuna.