Kadhi courts has no place in the constitution

How many Christians and other minorities ?and why nobody except Muslims didn't want this included in the census questionnaire?you answer that i will give you a general idea how"minority" muslims are!
Mkuu, Swali hili alishalijibu Granta: Ya kwamba serikali ni mimi na wewe, hivyo watu wakihesabiwa kwa dini zao. Kama viongzi wachache wa kiislamu wanavyotaka ni kwamba serikali ianze kusikiliza na kuzingatia mahitaji na huduma ziwahusuzo Waislamu kwa kuzingatia percentage ya waislamu badala ya percentage ya watanzania kwa ujumla wake. Na ndio maana hoja hii imeletwa na waislamu na sio wanasiasa.

Tanzania tuna wakristo, wapagani, dini za jadi waislamu, budha, iweje nyinyi mjiweke daraja la juu kwenyeserikali kuliko wengine. Dini yenu ina ubaguzi
NA ikishakuwa hivyo: Mtu yoyote mwenye fikra pevu anajua kabisa. Kama tutaanza kuwaangalia watanzania kwa misingi ya dini zao, ndipo tufikirie mustakabali wao. Tutajikuta sera zetu zote zipo kwenye kuhamasisha udini badala ya ustawi wa watu.

Waislamu wanalengo la Kutawala dola ya tanzania na kuisilimisha kwa lazima. Na lisipotokea hilo dini yao ina mapungufu. vasco da gamma ameishaisema hii mara nyingi

Sasa msitake kujidanganya eti wakristo wako tayari kutawaliwa na waislamu, kwa Mifumo ya kiislamu. Kiukweli Hawataki!. Ndio maana wamewaambia kama mnadhani dini yenu ni nzuri na ya haki. Msilazimishe watu wengine waache kumtumikia Mungu aliye hai katika Kristo yesu mwokozi waelekeeze mioyo yao kwa majini.

Hatuwezi kuaminiana kama imani zetu hazitufundishi kuheshimiana. Mambo yenu ya kadhi hayatuhusu. Nadhani hayatuhusu hata kuyajua kwani ni ya kipagani kwa imani yetu. Sisi ndo ni muunganiko mtakatifu wa watu wawili for better or worse until death tears us apart, na sio mkataba wa mitaala.

 
Last edited by a moderator:

'Na humo (katika Tourat) tuliwaandikia (Wayahudi) kwamba roho kwa roho, na jicho kwa jicho, na pua kwa pua, na jino kwa jino na kwa majeraha kisasi. Lakini atakye samehe basi itakuwa ni kafara (sacrifice) kwake. Na wasio hukumu kwa yale aliyoyateremsha Allah, basi hao ndio madhaalimu.
Qur'an:5:46
...............mbona sheria zetu nyingi tumekopi kutoka Tourat na Injil !?..........kwani kuna wakati nyinyi mlipewa andiko (Kutoka Tourat au Injil) kuwa sheri zilizomo humo hazina maana au zisifuatwe !?
Soma: Q: 5:44-50. 2013
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh.

Ndio basi tena mimi nishamuoa huyo dada yako.

Najilia zangu tuh kwa nakshi nakshi.

Na mahakama ya kadhi ikija itamuhukumu huyu dada yako.

Teh teh teh.

Teh teh vipi huyo mrembo hana dadake namie nijilie tartiiiiiiib
 
How many are you in Tanzania?

CC: Nonda , Ally Kombo 2013 Eiyer

Statistics zenu za TEC ambazo ziko fabricated mnataka kutudanganya sisi kadanganyeni huko huko na sisi mbona Mohamed Said amewapa Statistics za NBS za 1967 zinasema Waislamu ni 60% na Wakristo ni 40%?

Na CIA wanasema hapa mainland : Christian 30%, Muslim 35% , indegenous beliefs 35% Zanzibar: Muslim 99% others 1%

https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/geos/tz.html

Haya jibu nishakupa una jengine? Na kama mpo wengi mbona mlikataa kuweka kipengele cha dini katika sensa ya mwaka 2012? Mwaka huu kila kitu kinakwama kuhusu hii katiba.
 
Mumeifuata torati ambayo haijatimilizwa na Yesu. NA kuhusu injili hamkuifuata kivitendo kabisa!! Ama sivyo Yesu angekuwa wakwanza kutupia mawe yule mwanamke mzinzi aliyepelekwa mbele yake.
 
Ni nani atakae gharamia shughuli za uendeshaji wa mahakama ya Kadhi?
Kama itagharamiwa na kodi za watu wote bila kujali dini zao hapo kuna walakini.

Naomba nielimishwe kuhusu hili.
Thanks.
 

Nakuhakikishia, mahakama ya kadhi haitakuwa suruhisho kwa sababu kuu mbili;-
1) UKOSEFU WA UTII KWA MAMLAKA.
2) TAMAA

Yaani kutakuwepo na shida maana ninyi si dhehebu moja. Kadhi akiwa Shiha, Sunni hatomwamini maani maana hatakufunga na kufungua mnapishana.

Tunaona mnavyovurugana wenyewe kwenye uongozi wa misikiti. Sikukuu iliyopita huko Tabora kuna waliosali uwanjani na wengine msikitini wakikinzana.

KWA HIYO MAHAKAMA YA KADHI KUINGIZWA KWENYE KATIBA SI SURUHISHO.

SURUHISHO LIPO TANGU MWANZO KWA KUWEPO NA UHURU WA KUABUDU NCHINI MWETU. LABDA MKISEMA IJUMAA MSIENDE KAZINI, NADHANI HAPO TUTAWASAPOTI MAANA MNA HAKI YA KUSALI LAKINI SI MPAKA IINGIZWE KWENYE KATIBA MAANA PRIVATE WATAOGOPA KUWAAJIRI.
 

Hawa jamaa baada ya kufa yule mzee wao mchonga meno mwenye laana basi wamekuwa wanaish kwa was was sana.

Dhulma walizozifanya ndan ya nchi hii zinawasuta sana.
 
FEW THINGS FOR TANZANIANS TO NOTE:

1. It is impossible to have Kadhi Court and simultaneously practice a true DEMOCRACY, in the Country with Judicial system that is against discriminations and profiling.

2. If said Kadhi bill pases, the next thing Muslims will demand is to execute Sharia. Sharia "islamic law" will destroy independency and political multi party system. Allah demands the sole rule of Islam.

3. Kadh judgments are not national and can not be executed by the government. That means, its judgment is fallible.

4. Example in Nigeria: The sharia programs adopted by northern states extended the jurisdiction of Islamic civil law courts into criminal matters, created Islamic criminal codes, and implemented a wide-ranging set of "Islamic" social policies intended govern the social and economic lives of Muslims. That is why there is Islamic Boko Haram in those Northern States of Nigeria.

5. The Middle East economic failure and curfew "Arab Spring" is due to Islamic Laws, including but not limited to Kadhi Court, to wit

6. See how Indonesia failed in a political system due to Islam: http://web.stanford.edu/group/sjeaa/journal41/seasia1.pdf
 

Mfano katika hizo nchi 2 sina ila ushahidi nilionao ni kutoka nchi ya Sudan Kaskazini ambapo Dokta aliyeolewa na mkristo (Mmarekani) aliponea chupu chupu kuuawa kwa jitihada za Marekani na hizo mahakama zenu.

Somalia, mwaka huu mmama mmoja aliuawa kwa risasi kisa hakuvaa hijab.

Wewe unayesema kabila fulani ni laana; nadhani siwezi kubishana na wewe kwa maana umebeba sumu kali ya chuki. Ila lazima ujue kuwa hata waarabu wanazama kila leo ufukweni mwa nchi za ulaya. Sa sijui nchi hizo unazodai unatamani kuishi hawazioni?

Angalia nchi zenu za Afrika Kaskazini zinavyoenenda kwenye demokrasia, unatamani ipi katika hizo.

Mnaanza na hatua ya kuingiza mahkama Kadhi kwenye katiba, baadaye kadhi ataanza kutenda kwa mujibu wa hicho mnachosema ni mfumo kamili (akilindwa na katiba). Sasa nimabie binti yupi ataolewa na mkristo, sheria inasemaje? Niambie mama atakayeonekana kwenye mkutano wa Injili (sharia inasema je?);

Kwa nje ni rahisi kushadidia lakini ujue lengo si mirathi maana hata leo; muumini wa kweli anamaliza shida zake na viongozi wa imani.
 
Mumeifuata torati ambayo haijatimilizwa na Yesu. NA kuhusu injili hamkuifuata kivitendo kabisa!! Ama sivyo Yesu angekuwa wakwanza kutupia mawe yule mwanamke mzinzi aliyepelekwa mbele yake.

There is no Taurat in Islam, in the same token, there is no word Islam in the Taurat, Zabur and Injil. Muhammadans are whiners and can't support their Kadhi Court but talking rubbish which shows why Kadhi court is not a de facto claim but a failed and lame arguments from Muhammadans.
 
Hawa jamaa baada ya kufa yule mzee wao mchonga meno mwenye laana basi wamekuwa wanaish kwa was was sana.

Dhulma walizozifanya ndan ya nchi hii zinawasuta sana.

This is lame argument that supports non existence of Kadhi Court. With this kind of diabolical mentality, Kadhi Court will continue to be incommunicado.
 

Among other things, Kadhi Court bill will not pass in the Bunge Maalum. Muslims have not shown us why Kadhi Court is obsolete.
 
Ni nani atakae gharamia shughuli za uendeshaji wa mahakama ya Kadhi?
Kama itagharamiwa na kodi za watu wote bila kujali dini zao hapo kuna walakini.

Naomba nielimishwe kuhusu hili.
Thanks.
Tax payers. I mean your taxes.
 
........kyee....kyeee...kyeeeeh !.........kwahiyo Zanzibar, Kenya, Uganda na wengineo (wenye Kadhi court katika Katiba) wana KATIBA BATILI !??😛eep:
Tanzania is not Kenya or Uganda or etc.

Tanzanians will create their own constitution and not copying others people's constitution just like the way Allah copied the Bible and created your Quran.
 
There is no Taurat in Islam. You are wasting your time to quote something that doesn't exist in your religion. Nevertheless, why do you think Kadhi Court is absolute?
 

A Pew Forum survey conducted in 2010 suggests that approximately 60 percent of Tanzania's population is Christian, roughly 35 percent Muslim, and around 3 percent adhere to other religions. See: http://www.refworld.org/docid/5021057ec.html
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…