2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,069
Mkuu, Swali hili alishalijibu Granta: Ya kwamba serikali ni mimi na wewe, hivyo watu wakihesabiwa kwa dini zao. Kama viongzi wachache wa kiislamu wanavyotaka ni kwamba serikali ianze kusikiliza na kuzingatia mahitaji na huduma ziwahusuzo Waislamu kwa kuzingatia percentage ya waislamu badala ya percentage ya watanzania kwa ujumla wake. Na ndio maana hoja hii imeletwa na waislamu na sio wanasiasa.How many Christians and other minorities ?and why nobody except Muslims didn't want this included in the census questionnaire?you answer that i will give you a general idea how"minority" muslims are!
Tanzania tuna wakristo, wapagani, dini za jadi waislamu, budha, iweje nyinyi mjiweke daraja la juu kwenyeserikali kuliko wengine. Dini yenu ina ubaguzi
NA ikishakuwa hivyo: Mtu yoyote mwenye fikra pevu anajua kabisa. Kama tutaanza kuwaangalia watanzania kwa misingi ya dini zao, ndipo tufikirie mustakabali wao. Tutajikuta sera zetu zote zipo kwenye kuhamasisha udini badala ya ustawi wa watu.
Waislamu wanalengo la Kutawala dola ya tanzania na kuisilimisha kwa lazima. Na lisipotokea hilo dini yao ina mapungufu. vasco da gamma ameishaisema hii mara nyingi
Sasa msitake kujidanganya eti wakristo wako tayari kutawaliwa na waislamu, kwa Mifumo ya kiislamu. Kiukweli Hawataki!. Ndio maana wamewaambia kama mnadhani dini yenu ni nzuri na ya haki. Msilazimishe watu wengine waache kumtumikia Mungu aliye hai katika Kristo yesu mwokozi waelekeeze mioyo yao kwa majini.
Hatuwezi kuaminiana kama imani zetu hazitufundishi kuheshimiana. Mambo yenu ya kadhi hayatuhusu. Nadhani hayatuhusu hata kuyajua kwani ni ya kipagani kwa imani yetu. Sisi ndo ni muunganiko mtakatifu wa watu wawili for better or worse until death tears us apart, na sio mkataba wa mitaala.
Last edited by a moderator: