Kadhi courts has no place in the constitution

Kadhi courts has no place in the constitution

Katiba mpya ilipaswa iwe na mambo yafuatayo:
(1)Amri kumi zilizotolewa na Mungu kwa wanadamu wote.Huu ndio msingi wa sheria zote ikiwemo katiba .
(2)Ubatizo.
(3)Mahakama ya kadhi.

Pia Katiba Itamke kuwa Tanzania ni nchi ya watu wenye dini na imani tofauti.Hivyo basi serikali haitafungamana na dini yoyote.

Au itamke kuwa Tanzania ni nchi isiyo na dini rasmi/maalum.

Kusema kuwa Tanzania ni nchi isiyo na dini ni uongo kwani dini zipo tanzania na zilikuwepo hata kabla ya serikali ya Tanzania na ya mkoloni.

1. Ten commandments will be okay since Muslims claim that Allah is the same God of Moses although there is no Ten Commandment in their weak and un Godly book.

2. Kadhi Court, "NO". Even in their book, Allah never mention said Court. It is a man's made diabolical court.

3. Ubatizo, "YES" Since they claim that Isa is Jesus. The funny part is this. Isa of the Quran was never baptized, unfortunately, Isa is not Jesus.
 
Kama hadi haki za kuimba zipo kuchora na mambo mengine kama hayo then sioni sababu kwanini mahakama ya kadhi
ikose na sifa ya kuingia kwenye katiba hii, pili
Kama data hizo zinazo tolewa za wingi wa watu fulani ni kweli kuzidi wengine, then kwanini msifanye ile njia nyerere alitumia kama wachache husikilizwa na wengi huamua kisha hapo ndio tutafahamu ukweli halisi lakini kipimo cha kwanza ni leo jumatatu bungeni
 
Naomba kueleweshwa kitaalamu mtazamo wa kiislamu kikristu na sie wengine.
Hivi kuwepo kwa hio mahakama kwny katiba au kutokuwapo kuna faida gani na hasara gani.
Pia je kuna phrase maalum inatakiwa au ni utambuzi tu general kwamba ni haki ya kundi fulani kufanya jambo fulani mradi hawaingilii uhuru wa watu wengine? Kama kuna post ingine naomba link pls
 
Kwani mahakama za kikristo zipo??

Sasa kama zipo na nyinyi si mziingize kwenye katiba??

Kupiga ramli za wenzenu zisiingie haisadii.

Well said BIG SHOW! Wenzetu hawa ni wabinafsi ajabu. Na wangependa sana Waislam wawe dhalili siku zote. Kwao ni faraja sana kuona kila jambo wao ndo waanzilishi, waislam wanafuatia. Unajua katika hili la Mahakama kule upande wa pili halipo. Sasa wanahaha ni namna gani wafanye. Kwao haiwezekani kuanzisha mahakama, na kama ingewezekana tayari nao wangeanzisha. Hata hivyo, with time, wataanzisha ya kwao tu!

Wakati fulani nilikuwa nasikiliza kipindi cha dini kwenye runinga Jumapili. Sasa mtoa mahubiri( Padre au Askofu au Mchungaji- sina hakika) wakati anatoa yale mafundisho alikuwa anatumia neno WAAMINI, kila wakati WAAMINI. Ilibidi nimuuluze mwenzangu huu ni msamiati mpya!? Akanijibu aah kaka, kwani huna habari? Nikasema habari ipi? Akaniambia hapo awali sote tulitumia neno WAUMINI.Sasa kwa kuwa hili la WAUMINI lilionekana kuwa kama la KIISLAM, katika ile dhana ya UBINAFSI na kuleta tu UPINZANI kwa mambo ambayo yanaashiria kuwa yana nadharia ya. KIISLAM sawa na hili la Mahakama ya KADHI, basi ndo kuna hao waitwao WAAMINI, ingawa kimsingi ni hao hao WAUMINI.

Hali halisi ndo hiyo.

Nimalize kwa kusema bila Kadhi Court, hata kama S3 na uwepo wa Tanganyika, bado Waislam wangeonyesha tu kinyongo na uwepo wa dalili ya kukataa KATIBA MPYA inayopendekezwa. Hivi kuna dhambi gani Waislam wakiachwa kinachowahusu wao kuingizwa sawa na nchi nyingine? Nongwa ya nini!?
 
Christians must understand and be aware that, Islam is a complete way of life. It has an economic policy, a legal framework, a political ideology, and a social agenda and were followers of Allah and Muhammad will exercise in full the freedom, if will be guaranteed in the constitution then they are justified to demand for the implementation of the Sharia law in its entirety and not just its personal law aspect. This is where the main problem starts.

NOTE THIS: All Muslims are obliged to be governed and guided by the Sharia. That means, Tanzania will be under Sharia, something Christians will not comprehend, ad infinitum. It is a mandatory requirement [when you are under Sharia] and Christians will have no option but to totally submit to the divine law.

All Christians and non Muslims should fight against Kadhi Court and should never let such bill pass in Tanzania.

cc: Nonda 2013 Eiyer Lisa Valentine Ally Kombo etc

That means you are waging a war btn MUSLIMS n KUFARIS...

would you fight or will you just seek an aid from western states...?
 
Last edited by a moderator:
Mataifa ya kikafiri yanaungana kuwauwa waislamu pale iraq ili wapate kuwaibia rasilimali zao.
Isis haigombani na marekani wala Uk ,wanapigana waarabu wenyewe .wao hayawahusu,lakini kuuwa ndio kiu ya makafiri hasa kuuwa waislamu.
Kikataa MAHAKAMA ya KADHI ni Ukafiri tuu unawasumbua.

Kwahiyo ISIS waachwe tu kwa vile wanaua Waarabu wenzao? Ama kwa hakika "mapenzi ni nusu ya uwendawazimu".
 
Si unaina eee!

Elimu hamna lkn midomo mireeeefu!

Aliyekwambia kuwa mahkama ya Kadhi inahukumu watu kukatwa mikono ni nani?

Kenya na Uganda kuna mahkama za KADHI!
Hebu nitajie KESI YYT ile ya mahkama hizo Zikamuadhibu yyt kwa kukata mkono wake au hata kupigwa viboko!!!.

Tunasema haya kila siku kuwa NYIE WAGALATIA kinachowaponza ni ELIMU NDOGO! full stop.

Ndio maana hata hizo ibada zenu makanisani mnatumia muda wenu mwingi KUIMBA na Kutikisa makalio Kuliko KUSOMA!

Ukipita karibu na kanisa utafkiri Kuna Billcana Club mpya imefunguliwa. Ni kwasakwasa kwenda mbele.

SOMENI enyi WAGALATIA ili mpate maarifa ya kujenga Hoja! Na huenda MKAEPUKA NA ADHABU YA JAHANNAM.

Ujinga Ni MZIGO Mkuu!

Unaweza kuwa sawa kuwa elimu yangu "mimi binafsi/ si Wakristo wote" iko duni.

Lakini HOJA yangu ni kuwa " Hivi mkiiunda kama mojawapo ya taasisi za BAKWATA, kitaharibika nini?

Unajua kuna kanuni ya ngamia, anaingiza kichwa kwanza alafu kiwiliwili baadaye.
 
Bakwata ni kitengo kilichoanzishwa na NYERERE kwa lengo la kuwabana Waislamu.
Asilimia 90% ya waislamu hapa Tz hawaitaki bakwata lkn Serikali dhalimu ya Mfumo kristo inawalazamisha Waislamu kukubaliana na hao wafia tumbo wa bakwata.

Mahkama hii tunataka iwe HURU.
Na hilo tutafanikiwa tu Inshallah.

Makafiri lzm mioyo iwaume.

Tuombe uzima, kitakachosomeka kwenye katiba ni serikali kutambua uhuru wa kuabudu na si vinginevyo.

Wakikosea wakaitamka eti mahakama ya kadhi, tambua hela zetu zimetafunika bure na katiba mpya hapo ndio utakuwa mwisho wake.

NCHI HII INA WAHINDU, WAPAGANI, WABUDHA, WABAHAI, PATH, WAISLAM, WAKRISTO nk, wawakilishi wetu kwa busara zao sidhani kama watakubali kuonesha upendeleo wa dhahiri kwa kundi moja.

TUOMBE UZIMA.
 
Hakuna anaetaka kupendelewa hapa.
Hili suala la Mahkama ya kadhi huko KENYA na UGANDA wanalo tayari.
Na hakuna aliyelalamika.

Inakuwaje wagalatia wa TZ wawe na Roho mbaya na midomo mirefu kuliko Wakenya na Wa Uganda?

Kipi wanachokiogopa km sio wanafiki tu?

Bro si kila kitu kinafaa kuigwa, katika nchi hizo hakuna yenye utulivu kama TANZANIA. Lakini pia, katiba ikiisha toa uhuru wa kuabudu ikiwepo kusajiri taasisi zake, si tayari?
 
In my opinion, it is misconceived for the Muslims to suppose that they have a constitutional right to have the Kadhis courts entrenched in the Constitution, in contrast under the terms of the treaty between the Sultan of Zanzibar, the British and the governments of East Africa, inter-alia, if the Kadhis courts had to be entrenched in the Constitution as part of a political deal but that in itself does not make it a constitutional right in the same way that Muslims, like all other Tanzanians, have a constitutional right to protection from discrimination.

Wherefore, Kadhi Court is unconstitutional and unmeritorious ad infinitum,

........duuuh ! naona haulali kwa Kadhi Court !..........itakuwepo tu, hata ukinuna !
 
Bro si kila kitu kinafaa kuigwa, katika nchi hizo hakuna yenye utulivu kama TANZANIA. Lakini pia, katiba ikiisha toa uhuru wa kuabudu ikiwepo kusajiri taasisi zake, si tayari?

....kwa hiyo Mahakama ya Kadhi haifai kuigwa !? Kuwanyima haki ya kuamua "mambo" yao kundi moja katika jamii ndio kudumisha amani !?
 
....kwa hiyo Mahakama ya Kadhi haifai kuigwa !? Kuwanyima haki ya kuamua "mambo" yao kundi moja katika jamii ndio kudumisha amani !?

Sawa kaka mi naona tuwaachie wawakilishi wetu kwanza kule mjengoni maana hapa hatuwezi badirisha lolote. Ahsubuhi njema, wabillah tawfique!!!
 
Christians must understand and be aware that, Islam is a complete way of life. It has an economic policy, a legal framework, a political ideology, and a social agenda and were followers of Allah and Muhammad will exercise in full the freedom, if will be guaranteed in the constitution then they are justified to demand for the implementation of the Sharia law in its entirety and not just its personal law aspect. This is where the main problem starts.

NOTE THIS: All Muslims are obliged to be governed and guided by the Sharia. That means, Tanzania will be under Sharia, something Christians will not comprehend, ad infinitum. It is a mandatory requirement [when you are under Sharia] and Christians will have no option but to totally submit to the divine law.

All Christians and non Muslims should fight against Kadhi Court and should never let such bill pass in Tanzania.

cc: Nonda 2013 Eiyer Lisa Valentine Ally Kombo etc

:gossip:...........una mfano wowote wakuonyesha kuwa nchi fulani ilifunguliwa Kadhi Court, na baadae ikasababisha kuanzishwa "Sharia Law" !?........au ni kuropokwa tuu ! TanzaniaLaw
 
Last edited by a moderator:
You are mixing things. Galatians 3:10 For as many as are of the works of the law are under the curse: for it is written, Cursed is every one that continueth not in all things which are written in the book of the law to do them.

Go, figure out, who is under the curse.

What is the 'book of the law !?

'Hakika Sisi tuliteremsha Tourat yenye uwongofu na nuru, ambayo kwa hiyo Manabii walionyenyekea Kiislaam, na wachamungu, na wanazuoni, waliwahukumu Wayahudi" kwani (wao) walikabidhiwa kukihifadhi Kitabu cha Allah. Nao wakawa Mashahidi juu yake. Basi Msiwaogope watu (katika kutekeleza sheria za Allah) bali niogopeni Mimi. Wala msibadilishe Aya zangu kwa thamani chache (rushwa). Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Allah, basi hao ndio Makafiri.
Qur'an: 5:44. TanzaniaLaw hapo ndio utajua nani mwenye laana !
 
Last edited by a moderator:
]It is unconstitutional[/B] to have such an institution in the constitution. It is the matter of ethicalities.

........kyee....kyeee...kyeeeeh !.........kwahiyo Zanzibar, Kenya, Uganda na wengineo (wenye Kadhi court katika Katiba) wana KATIBA BATILI !??😛eep:
 
Christians must understand and be aware that, Islam is a complete way of life. It has an economic policy, a legal framework, a political ideology, and a social agenda and were followers of Allah and Muhammad will exercise in full the freedom, if will be guaranteed in the constitution then they are justified to demand for the implementation of the Sharia law in its entirety and not just its personal law aspect. This is where the main problem starts.

NOTE THIS: All Muslims are obliged to be governed and guided by the Sharia. That means, Tanzania will be under Sharia, something Christians will not comprehend, ad infinitum. It is a mandatory requirement [when you are under Sharia] and Christians will have no option but to totally submit to the divine law.

All Christians and non Muslims should fight against Kadhi Court and should never let such bill pass in Tanzania.

cc: Nonda 2013 Eiyer Lisa Valentine Ally Kombo etc
Yeah We must fight against this.
Yaani ikiingia hiyo Sharia manake ile haihusiani na torati wala injili ya musa: Zile zinatungwa kwa jinsi wanavyojisikia na muda unavyokwenda. Jamii watakuwa na vilema wengi. Kuna watu wanashangilia tu humu, lakini watapoteza miguu, mikono shingo... haki za binadamu na za wanawake zitakuwa zinabakwa:watakeketwa humu!! ohooo. Elimu ndo itarudi nyuma miaka 50. Yaani kila nikifikiria NAskitika sana; nina sista angu ambaye ni mrembo sana lakini kaolewa na hawa watu: hali yake itakuwa mbaya sana, japo kwasasa ndo kafanywa festi lady. Mungu tusaidie. Ila alionywa akaleta ubishi.
 
Teh teh teh.

Ndio basi tena mimi nishamuoa huyo dada yako.

Najilia zangu tuh kwa nakshi nakshi.

Na mahakama ya kadhi ikija itamuhukumu huyu dada yako.

Teh teh teh.
 
Back
Top Bottom