Kadhi courts has no place in the constitution

Kadhi courts has no place in the constitution

Hiyo katiba mpya ni lugha tu. Unaweza pia kuita ni marekebisho ya katiba iliyopo.

Kama katiba tunaweza kuifanyia marekebisho, kwa nini tusiweze kuufanyia marekebisho mfumo wa sheria uliopo kama hauikidhi matakwa na haja ya jamii?

Kwa nini tunaifanyika katiba marekebisho?
 
'Ili watu wa Kitabu wajue kwamba wao hawana uweza wowote juu ya fadhila za Allah. Na fadhila zote zimo mikononi mwa Allah. Humpa amtakaye. Na Allah ndiye mwenye fadhila kuu.
Qur'an:57:29
Why is Allah calling Christians people of the book?
 
'Ili watu wa Kitabu wajue kwamba wao hawana uweza wowote juu ya fadhila za Allah. Na fadhila zote zimo mikononi mwa Allah. Humpa amtakaye. Na Allah ndiye mwenye fadhila kuu.
Qur'an:57:29
You are having day dreams young muhammadan.
 
........Mbona unajichanganya Mgalatia ! TanzaniaLaw, .........sasa Biblia ndio Injil au Tourat !?.......kweli nyie ni vipofu, viziwi !
Qur'an hainukuu Biblia bali inaikanusha.........Biblia imeharibu yote ya Injil na Tourat
Is there Injil in the Quran? Is there Taurat in ISLAM? Can you show me young muhammadan?
 
Is there Injil in the Quran? Is there Taurat in ISLAM? Can you show me young muhammadan?

Musa AS, alifundisha Mungu Mmoja, Yesu AS alifundisha Mungu Mmoja na Muhammad SAW alifundisha Mungu Mmoja.....Biblia waungu watatu ! :hand: Ishmael
 
Last edited by a moderator:
Musa AS, alifundisha Mungu Mmoja, Yesu AS alifundisha Mungu Mmoja na Muhammad SAW alifundisha Mungu Mmoja.....Biblia waungu watatu ! :hand: Ishmael
Just show me the word Islam in the Taurat. I don't have time with Spins and mambo jumbos.
 
Quran sasa imekuwa Injil,

KUMBE QURAN NI MKUSANYIKO WA VITABU

MSIBA HUUU

Niletee Injil Bana.

'Mteremsho wa Kitabu hiki (Qur'an) umetokana na Mwenyezi Mungu, Mwenye Nguvu, Mwenye Hekima.

'Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki (Qur'an) kwa Haki.Basi muabudu Mwenyezi Mungu ukimsafia Dini Yeye tu.

'Hakika Dini safi ni ya Mwenyezi Mungu tu, na wale wanao wafanya wenginewe kuwa ni walinzi wakisema: Sisi hatuwaabudu ila wapate kutusogeza kumkaribiu Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu atahukumu baina yao katika wanayo khitilafiana. Mwenyezi Mungu hamwongoi aliye mwongo (na) kafiri.

'Lau kuwa Mwenyezi Mungu angetaka kuwa na mwana basi bila shaka angeli mteua amtakaye katika alio waumba. Subhanahu, ametakasika na hayo ! (ya uzushi kuwa ana mwana !) Yeye ni Mwenyezi Mungu Mmoja, Mtenda atakalo.

'Ameumba mbingu na ardhi kwa Haki. Hufunika usiku juu ya mchana, na hufunika mchna juu ya usiku. Na amefanya jua na mwezi vitumike. Kila kimoja wapo kinakwenda kwa kipindi kilicho wekewa. Jueni (ili) mtanabahi ! Yeye ndiye Mwenye Nguvu, Mwenye Kusamehe!

'Amekuumbeni kutokana na nafsi moja. Kisha akamfanya mwenziwe (Hawa) katika nafsi ile ile. Kisha akakuleteeni wanyama wa mifugo jozi nane. Akakuumbeni katika matumbo ya Mama zenu, umbo baada ya umbo (hatua kwa hatua !) katika viza (mifuko) mitatu. Huyu Ndiye Mwenyezi Mungu. Mola wenu Mlezi. Ufalme ni wake. Hapana mungu (mwingine) isipokuwa Yeye. Basi nyinyi (makafiri) mnageuzwa wapi !? (nani anaye wadanganya !?)

'Mkikufuru basi Mwenyezi Mungu si mwenye haja nanyi, lakini hafurahii kukufuru kwa waja wake. Na mkishukuru, Yeye hufurahika nanyi. Wala mbebaji habebi mzigo wa mwingine. Kisha marejeo ni kwa Mola wenu Mlezi. Hapo atakuambieni mlokuwa mkiyafanya. Hakika Yeye (Mwenyezi Mungu) ni Mwenye kuyajua yaliyomo vifuani (mwenu).

.................................Starehe na ukafiri wako (ni) kwa muda mchache. Kwani hakika wewe utakuwa miongoni mwa watu wa motoni.

....................ati watakuwa sawa wale wanao jua na wasio jua !? Hakika wanao kumbuka ni wale walio na akili.

Qur'an: 39:1-9
 
The current debate is about whether or not these “Kadhi” courts should be entrenched in the new constitution of Tanzania.

Confrontations rivalry on the mainland (Tanganyika) between the Muslims “minority” who are 35% and the Christians “majority” who are more than 55% have flared up frequently in the past few years. These exasperating tensions are too complex to be labeled as a fundamental antagonism based on religion. Neither Muslims nor Christians (in Tanganyika and Zanzibar) form a homogeneous block.

The endless debate in the "Bunge Maalum", which has focused itself on the (Mahakama ya Kadhi) kadhi’s courts and the constitutional review, has allowed extreme elements from both sides to speak out with great vehemence potency and so increased tensions between the two communities. It has crystallized the perceived hurts and prejudices that have lain under the surface of a thin veneer of mutual tolerance. Aspects of the entire situation must be examined for the influence of political elements who use religion for their own ethnic reasons.

So we stay with the whole phrase – rule of law – with each one appreciating it according to her needs or as the occasion demands.

Can’t Tanzanian Muslims rule themselves by themselves without being in the constitution? What is the big deal, a religious court being entrenched in the constitution that rules over different religions? What is the hidden agenda? I argue Tanzanians to learn from Nigeria, Pakistan and other nations with Kadhis courts and Islamic Sharia "Law"……..understand the meaning of Kafiris as described by Muslims and what sharia law advocates to the same.

Readers should remember that the fellows who are drafting the constitution are purely lawyers by profession, and going by their egos and personality they are fellows who can easily convince and confuse your reasoning without much ado. They can easily prove a day is a night. Entrenching the kadhis court in the constitution is purely improper, unmeritorious, unconstitutional and against human rights.

Therefore the needs of both the Christians, Hindus, Muslims and any other religion was catered for.

There are unforeseen consequences which are not apparent as per now but of which the coe (lawyers) are aware of. Who is a Muslim anyway? Where does she/he live? Whom does she/he live with? How does coexisting with Muslims affect your lifestyle and culture? Will inclusion of kadhi's court in the constitution change all these? The answer is yours.



Christians in Tanzania are arguing that including the Kadhi Courts in the constitution is (apart from favoring one religion) setting the stage for the introduction of Sharia law and simultaneously joining Organization of Islamic Conference “OIC”.


Do you think Kadhi’s courts should be part of the new Constitution? Shouldn't the constitution protect the interest of the majority as well as minority?By including Kadhis court in our nation constitution, it is a favor to one religion. It would mean that if need be, we could also include, e.g. Artificial contraceptive clause to favor the Catholic Church in the constitution. Otherwise, anything to do with religion and faith must be left to the concerned believers.

Source: Do you think Kadhi’s courts should be part of the new Tanzanian Constitution?

Mawazo mazuri ila huna elimu juu ya unaloongelea ni bora Hilo kundi unaloliita dogo japo wamegeuza walio wengi kuwa ndio wachache.Hujiulizi kwa nini Tanzania tu ndio Kuna utata kama si urafiki? Kenya ni asilimia ngapi ya Hao wanaoitwa minority hapa nchini? Tuwe makini sana na kashfa hizi
 
'Mteremsho wa Kitabu hiki (Qur'an) umetokana na Mwenyezi Mungu, Mwenye Nguvu, Mwenye Hekima.


Qur'an: 39:1-9
Unaanza kukimbia mapema hii.

MIMI NAKATA INJIL ILIYO teremshwa na Allah na sina muda na Quruani, AU kuruani sasa ni Biblia "mkusanyiko wa vitabu"?
 
Unaanza kukimbia mapema hii.

MIMI NAKATA INJIL ILIYO teremshwa na Allah na sina muda na Quruani, AU kuruani sasa ni Biblia "mkusanyiko wa vitabu"?

...........starehe (na) ukafiri wako ni kwa muda mchache.....!

............ati watakuwa sawa wanao jua na wasio jua !? Hakika wanao kumbuka ni wale walio na akili !

Qur'an: 39: 8-9
 
...........starehe (na) ukafiri wako ni kwa muda mchache.....!

............ati watakuwa sawa wanao jua na wasio jua !? Hakika wanao kumbuka ni wale walio na akili !

Qur'an: 39: 8-9

MIMI NAKATA INJIL ILIYO teremshwa na Allah na sina muda na Quruani, AU kuruani sasa ni Biblia "mkusanyiko wa vitabu"?
 
...........starehe (na) ukafiri wako ni kwa muda mchache.....!

............ati watakuwa sawa wanao jua na wasio jua !? Hakika wanao kumbuka ni wale walio na akili !

Qur'an: 39: 8-9

MIMI NAKATA INJIL ILIYO teremshwa na Allah na sina muda na Quruani, AU kuruani sasa ni Biblia "mkusanyiko wa vitabu"?

Jifurahishe tu Kafiri !
 
Back
Top Bottom