Kadhi courts has no place in the constitution

Kadhi courts has no place in the constitution

ha ha ha ha ha confusion usipime na huu ni mwanzo tu, je ikianzishwa si ndio hivyo vidole vitaisha kwakukatwa ha ha ha ha katiba pendekezwa forever,Nonchance for Kadhi court! Ha ha ha ha
In fact, KAZI COURT is SATANIC and for Lucifer's worshipers.

11096436_415415415292853_6117118705223456531_n.jpg
 
Mbona mizengwe pinda anashandadia lakini.. Yaani amewagawa hadi wabunge mle ndani...
 
Allah anadai kuwa Aliteremsha Injil kabla ya Quran. Sasa tuonyeshe ipo wapi hiyo Injil. Sina muda wa kusoma Quran na kuuita Injil. Au kulani siku hizi imekuwa ni Mkusanyiko wa Vitabu kama Biblia ya Wakristo?

Injil mnayo au hamna?

Wewe mwenyewe huna na hujui kama huna ! Humo kwenye Biblos kuna Injil ya Mathayo, Luka, Yohana, Marko na ya Yesu hamna !...upo Mgala Ishmael ? aka TanzaniaLaw
 
Last edited by a moderator:
Waambie wanao taka kuweka dini kwenye KATIBA na sio MIMI.

10402013_415267728640955_3246074672258301477_n.jpg

Ingekekuwepo hii adhabu, wakati huu Kilaini na Nzingirw hawana mikono !...........na wale woote washirika wa Escrow.
Akina Ngeleja wanasema nyingine walipeleka Kanisani.
Ishmael

Waislaam wanaogopa wizi, ndio mana kwenye Escrow hakuna Muislaam !
 
Last edited by a moderator:
The current debate is about whether or not these “Kadhi” courts should be entrenched in the new constitution of Tanzania.

Confrontations rivalry on the mainland (Tanganyika) between the Muslims “minority” who are 35% and the Christians “majority” who are more than 55% have flared up frequently in the past few years. These exasperating tensions are too complex to be labeled as a fundamental antagonism based on religion. Neither Muslims nor Christians (in Tanganyika and Zanzibar) form a homogeneous block.

The endless debate in the "Bunge Maalum", which has focused itself on the (Mahakama ya Kadhi) kadhi’s courts and the constitutional review, has allowed extreme elements from both sides to speak out with great vehemence potency and so increased tensions between the two communities. It has crystallized the perceived hurts and prejudices that have lain under the surface of a thin veneer of mutual tolerance. Aspects of the entire situation must be examined for the influence of political elements who use religion for their own ethnic reasons.

So we stay with the whole phrase – rule of law – with each one appreciating it according to her needs or as the occasion demands.

Can’t Tanzanian Muslims rule themselves by themselves without being in the constitution? What is the big deal, a religious court being entrenched in the constitution that rules over different religions? What is the hidden agenda? I argue Tanzanians to learn from Nigeria, Pakistan and other nations with Kadhis courts and Islamic Sharia "Law"……..understand the meaning of Kafiris as described by Muslims and what sharia law advocates to the same.

Readers should remember that the fellows who are drafting the constitution are purely lawyers by profession, and going by their egos and personality they are fellows who can easily convince and confuse your reasoning without much ado. They can easily prove a day is a night. Entrenching the kadhis court in the constitution is purely improper, unmeritorious, unconstitutional and against human rights.

Therefore the needs of both the Christians, Hindus, Muslims and any other religion was catered for.

There are unforeseen consequences which are not apparent as per now but of which the coe (lawyers) are aware of. Who is a Muslim anyway? Where does she/he live? Whom does she/he live with? How does coexisting with Muslims affect your lifestyle and culture? Will inclusion of kadhi's court in the constitution change all these? The answer is yours.



Christians in Tanzania are arguing that including the Kadhi Courts in the constitution is (apart from favoring one religion) setting the stage for the introduction of Sharia law and simultaneously joining Organization of Islamic Conference “OIC”.


Do you think Kadhi’s courts should be part of the new Constitution? Shouldn't the constitution protect the interest of the majority as well as minority?By including Kadhis court in our nation constitution, it is a favor to one religion. It would mean that if need be, we could also include, e.g. Artificial contraceptive clause to favor the Catholic Church in the constitution. Otherwise, anything to do with religion and faith must be left to the concerned believers.

Source: Do you think Kadhi’s courts should be part of the new Tanzanian Constitution?[/QUOTE

Ha ha heeeee sipati picha kuna majitu humu yanalazimisha ibara ya 41 ibadilike,yako tayari kutoa roho za watu acheni hizo kampeni zenu hazina maana badla ya kujadili masuala ya msingi yasiyoigawa nchi mnakazia kupandisha bodi ya abiria waliovaa udini hiyo haifiki popote wallah lazima izame tu afu mnakua chakula cha samaki acheni hizo solidality forever bhana,
 


Ally Kombo umejitahidi kutuelewesha kupitia picha lakini hujasema hicho kifungu wanachokipigania kiko wapi kwenye katiba Pendekezwa????mi nachojua KAtiba Pendekezwa imeweka wazi masuala ya dini kwenye ibara ya 41 SERIKALI HAITAJIHUSISHA WALA KUGHARAMIA UENDESHAJI WA TAASISI NA SHUGHULI ZA DINI.
 
very pity!!


duuuu nyie watu hii nini hiki jamani?watanzania tu wamoja,tupendani licha ya tofauti zetu,tujaliane hayo mambo ya migogoro ya dini yapishe mbali maana sisi sote ni wana wa adam!!! Katiba pendekezwa tutakayoipigia kura ukisoma sura ya 1, ibara ya 5 imeweka vizuri kabisa ujenzi wa jamii ya kistaarabu.

Pitieni ibara hiyo bhana msome,afu tuelewane.
 
Wewe mwenyewe huna na hujui kama huna ! Humo kwenye Biblos kuna Injil ya Mathayo, Luka, Yohana, Marko na ya Yesu hamna !...upo Mgala Ishmael ? aka TanzaniaLaw


ACHENI HIZO BHANA MBONA MLIKUA MNAONGEA VIZURI NYIE? Aaaaaaaa NANI AMEINGIA HAPA KATIKATI AKAWALOGA HATA MNAANZA KUTAMBIANA DINI IPI NI NZURI? MNAANZA KUTUBOA SASA WANA JF, MAMBO YA DINI YASILIGAWE TAIFA NA HILI WANANCHI HAWAKUBALI KAMA MMECHOKA KUISHI TZ MTUPISHE NA MTU ACHIE NCHI YETU YA MHE. NYERERE,MWINYI, MKAPA NA JAKAYA KIKWETE.
 
Ingekekuwepo hii adhabu, wakati huu Kilaini na Nzingirw hawana mikono !...........na wale woote washirika wa Escrow.
Akina Ngeleja wanasema nyingine walipeleka Kanisani.
Ishmael

Waislaam wanaogopa wizi, ndio mana kwenye Escrow hakuna Muislaam !
Pole sana kwa kujidanganya. Hivi ulisha soma visa vya Mtume wenu Muhammad?
 
Wewe mwenyewe huna na hujui kama huna ! Humo kwenye Biblos kuna Injil ya Mathayo, Luka, Yohana, Marko na ya Yesu hamna !...upo Mgala Ishmael ? aka TanzaniaLaw
Ukisha maliza kutapika Sabuni ya Omo uliyo meza, nionyeshe wapi ilipo Injil aliyo teremsha Allah.

Wewe hujui kwanini kuna forth gospel and who were the recipient. Wewe unaangali Alimasi upande mmoja halafu unasema ipo sawa au lah. Hakika nyie ni vipofu wenye chongo kwenye nyoyo zenu.
 
ACHENI HIZO BHANA MBONA MLIKUA MNAONGEA VIZURI NYIE? Aaaaaaaa NANI AMEINGIA HAPA KATIKATI AKAWALOGA HATA MNAANZA KUTAMBIANA DINI IPI NI NZURI? MNAANZA KUTUBOA SASA WANA JF, MAMBO YA DINI YASILIGAWE TAIFA NA HILI WANANCHI HAWAKUBALI KAMA MMECHOKA KUISHI TZ MTUPISHE NA MTU ACHIE NCHI YETU YA MHE. NYERERE,MWINYI, MKAPA NA JAKAYA KIKWETE.
11101834_1578965635676810_3404354879732543337_n.jpg

Haya ndio madhara ya mahakama ya kadhi yawapatayo raia wa somalia katika majimbo yanayoshikiliwa na magaidi wa Al-shabaab

we don need this kind of court in our country Tanzania
 
Back
Top Bottom