Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Kadhia ya Law School "Wasomi Nguli" wasikilizwe

Mnataka muwekewe mitihani mirais ili mfaulu wengi mwisho wa siku wajae mawakili makanjanja wahuni tu

Ova
 
Zipo kwa uchache lkn si kwa kiwango cha kupigiwa kelele kiasi hiki.

Wanafunzi wana msingi mbovu tangu walikotoka kabla ya kuingia law school. Na wakifika law school wako bize na ujinga.
Watu hawapendi ukweli, the students are unfit. To be fair, even at the best of times the transition from an academic cadre to a professional one is always difficult - it cannot be more than 20% - as the CPAs and PEng. Firthermore, unless you have been on both sides, this debate is thankless.
 
30 November 2022
Moot Court Competition: UDOM yaibuka mshindi, yavibwaga vyuo toka Kenya, Uganda, Rwanda, South Sudan na South Africa

Source : millard ayo
 
26 November 2022
UDOM
Dodoma, Tanzania

UDOM Yaongoza Afrika | Yatetea Ubingwa wa Tanzania Ambao Ulipotea kwa miaka 21

Wahadhiri wa UDOM wamesema sasa wanajipanga ili wanafunzi wao waweze kwenda mashindano ngazi ya dunia ili huko pia waibuke na matokeo mazuri
Source : UDOM TV
 
HaBarI MBAYa sana hii kwa Mwakyembe, law school na yale mamburula yenye kukenua neno kilaza likitumika dhidi ya wasomi.

Mijitu kama hii ikizeeka haiwezi kuacha kuwa michawi.
 
Back
Top Bottom