Kadhihirisha ukubwa wake, nani anabisha?

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Nasemaje!! yatakuja majitu yenye roho mbaya hapa na kubisha, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ndugu zangu.

Hyu kiumbe kadhihirisha kwamba yeye ni noooma sana nchi hii kauli zake kama sumaku , jamaa ni PIED PIPER fulani hivi

Mechi za Burundi vs cameroon ambayo alipewa kazi maalumu ya kujaza uwanja na hii ya leo ya team kiba vs team samatta zimeonyesha jinsi jamaa alivyo na ushawishi mkubwa kwa watanzania

Mechi zote zimejaza vya kutosha, nakuhakikishia simba watamkumbuka sana kwa miaka 4 kawapa ubingwa, kawajazia uwanja ila wakamfukuza bila shukrani,bila kumrudisha watashuka daraja nakuapia
 
Mwenzako Haji anaingiza fedha wewe unaishia kupiga porojo. Kumchukia mtu hakukufanyi wewe upate alichonacho.Haji mdomo wake ndio unamweka na kusumbua mjini wakati wewe unaonekana Juha mitandaoni.
Acha upumbavu wewe embu soma ulichoandika na nilichoandika, juha mubashara weeeeee, yule ni milionea siyo kuingiza tu hela anaingizia na watu mahela pia ndiyo maana ya influential anayejaza uwanja
 
Wewe na mtoa mada, nani juha zaidi ya mwingine?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzako Haji anaingiza fedha wewe unaishia kupiga porojo. Kumchukia mtu hakukufanyi wewe upate alichonacho.Haji mdomo wake ndio unamweka na kusumbua mjini wakati wewe unaonekana Juha mitandaoni.
mpaka hapa wewe ndio juha mwenzie Haji
 
Acha upumbavu wewe embu soma ulichoandika na nilichoandika, juha mubashara weeeeee, yule ni milionea siyo kuingiza tu hela anaingizia na watu mahela pia ndiyo maana ya influential anayejaza uwanja
Siku zote nakueleza wewe kuchunga Ng'ombe mbaka utu uzima kume kuathiri.
 
ukiulizwa ulichokasirika ni nini mkuu? umesema jamaa anapiga hela mimi nimekubali jamaa ni milionea,si wa kishua yule kazaliwa Holland na magazeti yakaandika sunday manara kapata mtoto?
Jamaa anapiga hela tena za halali siyo kama baadhi ya wanaume mjini wanageuzwa kinyume na maumbile ili wapte hela za kutanua na kununua suits za uturuki na masafari ya nje
 
Nasemaje!!!!!!!!!!!!!! yatakuja majitu yenye roho mbaya hapa na kubisha, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ndugu zangu.

Hyu kiumbe kadhihirisha kwamba yeye ni noooma sana nchi hii kauli zake kama sumaku , jamaa ni PIED PIPER fulani hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

Mechi za Burundi vs cameroon ambayo alipewa kazi maalumu ya kujaza uwanja na hii ya leo ya team kiba vs team samatta zimeonyesha jinsi jamaa alivyo na ushawishi mkubwa kwa watanzania

Mechi zote zimejaza vya kutosha, nakuhakikishia simba watamkumbuka sana kwa miaka 4 kawapa ubingwa, kawajazia uwanja ila wakamfukuza bila shukrani,bila kumrudisha watashuka daraja nakuapia
So what ?. The whole thread is full of nonsense.
 
Nilijua tu mijitu yenye wivu kama wewe isingekosekana, jamaa anaingiza mamilioni ya pesa hapo Yanga na ubalozi wa bidhaa wewe umekaa hapa JF kumletea ma chuki yako binafsi, acheni wivu wa kike
 
Back
Top Bottom