njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Nasemaje!! yatakuja majitu yenye roho mbaya hapa na kubisha, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ndugu zangu.
Hyu kiumbe kadhihirisha kwamba yeye ni noooma sana nchi hii kauli zake kama sumaku , jamaa ni PIED PIPER fulani hivi
Mechi za Burundi vs cameroon ambayo alipewa kazi maalumu ya kujaza uwanja na hii ya leo ya team kiba vs team samatta zimeonyesha jinsi jamaa alivyo na ushawishi mkubwa kwa watanzania
Mechi zote zimejaza vya kutosha, nakuhakikishia simba watamkumbuka sana kwa miaka 4 kawapa ubingwa, kawajazia uwanja ila wakamfukuza bila shukrani,bila kumrudisha watashuka daraja nakuapia