njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Acha upumbavu wewe embu soma ulichoandika na nilichoandika, juha mubashara weeeeee, yule ni milionea siyo kuingiza tu hela anaingizia na watu mahela pia ndiyo maana ya influential anayejaza uwanjaMwenzako Haji anaingiza fedha wewe unaishia kupiga porojo. Kumchukia mtu hakukufanyi wewe upate alichonacho.Haji mdomo wake ndio unamweka na kusumbua mjini wakati wewe unaonekana Juha mitandaoni.
Wewe na mtoa mada, nani juha zaidi ya mwingine?Mwenzako Haji anaingiza fedha wewe unaishia kupiga porojo. Kumchukia mtu hakukufanyi wewe upate alichonacho.Haji mdomo wake ndio unamweka na kusumbua mjini wakati wewe unaonekana Juha mitandaoni.
mpaka hapa wewe ndio juha mwenzie HajiMwenzako Haji anaingiza fedha wewe unaishia kupiga porojo. Kumchukia mtu hakukufanyi wewe upate alichonacho.Haji mdomo wake ndio unamweka na kusumbua mjini wakati wewe unaonekana Juha mitandaoni.
Siku zote nakueleza wewe kuchunga Ng'ombe mbaka utu uzima kume kuathiri.Acha upumbavu wewe embu soma ulichoandika na nilichoandika, juha mubashara weeeeee, yule ni milionea siyo kuingiza tu hela anaingizia na watu mahela pia ndiyo maana ya influential anayejaza uwanja
ukiulizwa ulichokasirika ni nini mkuu? umesema jamaa anapiga hela mimi nimekubali jamaa ni milionea,si wa kishua yule kazaliwa Holland na magazeti yakaandika sunday manara kapata mtoto?Siku zote nakueleza wewe kuchunga Ng'ombe mbaka utu uzima kume kuathiri.
Kweli huyu ni juhaAcha upumbavu wewe embu soma ulichoandika na nilichoandika, juha mubashara weeeeee, yule ni milionea siyo kuingiza tu hela anaingizia na watu mahela pia ndiyo maana ya influential anayejaza uwanja
So what ?. The whole thread is full of nonsense.Nasemaje!!!!!!!!!!!!!! yatakuja majitu yenye roho mbaya hapa na kubisha, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni ndugu zangu.
Hyu kiumbe kadhihirisha kwamba yeye ni noooma sana nchi hii kauli zake kama sumaku , jamaa ni PIED PIPER fulani hiviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mechi za Burundi vs cameroon ambayo alipewa kazi maalumu ya kujaza uwanja na hii ya leo ya team kiba vs team samatta zimeonyesha jinsi jamaa alivyo na ushawishi mkubwa kwa watanzania
Mechi zote zimejaza vya kutosha, nakuhakikishia simba watamkumbuka sana kwa miaka 4 kawapa ubingwa, kawajazia uwanja ila wakamfukuza bila shukrani,bila kumrudisha watashuka daraja nakuapia
Nilijua tu mijitu yenye wivu kama wewe isingekosekana, jamaa anaingiza mamilioni ya pesa hapo Yanga na ubalozi wa bidhaa wewe umekaa hapa JF kumletea ma chuki yako binafsi, acheni wivu wa kikeSo what ?. The whole thread is full of nonsense.