eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Mhh aya mapenzi jamaa ata chongo utaita kengezaKuhusu kadi ya Bocco.. Nguvu ya muamala ilionekana.
Refa alitakiwa atoe red card katika lile tukio ambalo ule mjamaa wa Mwadui ulitaka kumvunja mguu Kapombe.. Lakini tukio la Bocco halikustahili kabisa.Mhh aya mapenzi jamaa ata chongo utaita kengeza
kama alipiga kiwiko ni direct red..tatizo dole la nyoso limemvuruga akiliRefa alitakiwa atoe red card katika lile tukio ambalo ule mjamaa wa Mwadui ulitaka kumvunja mguu Kapombe.. Lakini tukio la Bocco halikustahili kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnatakiwa muwe mnaelewa.. Hakumpiga, bali alimgusa.kama alipiga kiwiko ni direct red..tatizo dole la nyoso limemvuruga akili
sikuangalia mechi,ila kama alimgusa kichwani basi nyekundu,unadai alimgusa..alimgusa ili iweje!?
Mkuu mpira wa miguu utachezajwe bila wachezaji kugusana??sikuangalia mechi,ila kama alimgusa kichwani basi nyekundu,unadai alimgusa..alimgusa ili iweje!?
kamgusa wapi,kamgusa na nini!?
Kamgusa vinywele kidogo, alimgusa na mkonokamgusa wapi,kamgusa na nini!?
ukiweka mkono kichwani ni kadi nyekundu bila mjadala
Video hazidanganyi mkuu...kama uliangalia red card aliyopewa Cristiano huwez kataa hiyo ya Bocco kuwa si red card
We jamaa upewe tu kazi hata ya Manara pale jengoni[emoji28][emoji28][emoji28][emoji23]una jibu kwa umakini sana
Angalia vizuri hiyo clip kitendo alichofanya boko cha kwenda kumpiga mchezaji wa Mwadui je ilistaili kadi au laRefa alitakiwa atoe red card katika lile tukio ambalo ule mjamaa wa Mwadui ulitaka kumvunja mguu Kapombe.. Lakini tukio la Bocco halikustahili kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hivi sasa navyotoka kuangalia ni mara ya 49.. Na mara zote naona Bocco hana kosa.Angalia vizuri hiyo clip kitendo alichofanya boko cha kwenda kumpiga mchezaji wa Mwadui je ilistaili kadi au la
Ni kweli hakustahili.. Ile ilikua ni nguvu ya muamala.Mchezaji mkubwa Kama yeye hakustahili ule ujinga [emoji1630]
Basi hata Nyoso kipindi kileee hakustahili kufungiwa mana Boko naye 'aliguswa' tu na kidole mata...k.. Oni!Ni kweli hakustahili.. Ile ilikua ni nguvu ya muamala.
Kila binadamu ana ukomo wa kuvumilia. Yule fala aliyemfanyia ufala Bocco fuatilia ufala wake wa nyuma. Alimfanyia faulo Bocco akawa majerudi kipindi kirefu sana. Akataka kurudia ufala kama ule. Mle ndani kuna watoto wanatukana wenzao matusi ya nguoni. Rejea Zidanne kumpa kichwa Materraz alimtukana son of bitch. So kuna wakati tunaweza nidhamu pembeni.Mchezaji mkubwa Kama yeye hakustahili ule ujinga 🛑