eddy brown
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 414
- 314
Tuwe wakweli wanamichezo,hivi kweli mchezaji mzoefu, captain wa timu unafanya tukio kama lile mbele ya kamera zote kama zile ulitegemea nini?eti Keisha unazuga kulalama kwa refa kama si ubaridi wa derby ya kariakoo.