kikositija
Senior Member
- Jun 19, 2017
- 123
- 103
shukrani NdegeMwema ...Nenda kituo cha Police karibu yako, toa maelezo then utapewa loss Report. Process zingine zitaendelea kama kufuatilia card yako TRA nk. wengine watachangia zaidi..
Pamoja mkuu...shukrani NdegeMwema ...
zama zimebadilika machafuko, utaratibu mpya ni mpaka utangaze gazetini kisha baaada ya mwezi mmoja ndo unaenda TRA na vielelezo vyako kupatiwa duplicate ya kadi yakoMkuu kama hio kadi ina jina lako yaani wewe ndio mmiliki halali bas ukienda tra ni fasta tu kuipata kutokana na TIN namba yako
Lkn kama hukuwahi kubadili jina(transfar name)baada ya kununua hio pikipiki,hapo utakua nashughuli mkuu,ndio hayoo proses hadi za kwenye magazeti