kadi original imepotea

kadi original imepotea

kikositija

Senior Member
Joined
Jun 19, 2017
Posts
123
Reaction score
103
ndugu wanajamii
Mimi namiliki pikipiki ambayo hivi sasa ina miaka mitatu...
nilifanya kosa kutembea na kadi original pasi kuwa na kopi.
Leo wakati naifanyia usafi ,nikagundua kuwa kimkoba nilichokuwa nahifadhia kadi hakipo.. kimepotea au kimeibiwa
SWALI LANGU ...nifanyeje ili niipate kadi nyingine ?nitumie njia zipi ?
189c4b05afcbcd8bee36e372277d90e0.jpg
 
Nenda kituo cha Police karibu yako, toa maelezo then utapewa loss Report. Process zingine zitaendelea kama kufuatilia card yako TRA nk. wengine watachangia zaidi..
 
Nenda kituo cha Police karibu yako, toa maelezo then utapewa loss Report. Process zingine zitaendelea kama kufuatilia card yako TRA nk. wengine watachangia zaidi..
shukrani NdegeMwema ...
 
Mkuu kama hio kadi ina jina lako yaani wewe ndio mmiliki halali bas ukienda tra ni fasta tu kuipata kutokana na TIN namba yako
Lkn kama hukuwahi kubadili jina(transfar name)baada ya kununua hio pikipiki,hapo utakua nashughuli mkuu,ndio hayoo proses hadi za kwenye magazeti
 
zama zimebadilika machafuko, utaratibu mpya ni mpaka utangaze gazetini kisha baaada ya mwezi mmoja ndo unaenda TRA na vielelezo vyako kupatiwa duplicate ya kadi yako
 
Back
Top Bottom