kikositija
Senior Member
- Jun 19, 2017
- 123
- 103
ndugu wanajamii
Mimi namiliki pikipiki ambayo hivi sasa ina miaka mitatu...
nilifanya kosa kutembea na kadi original pasi kuwa na kopi.
Leo wakati naifanyia usafi ,nikagundua kuwa kimkoba nilichokuwa nahifadhia kadi hakipo.. kimepotea au kimeibiwa
SWALI LANGU ...nifanyeje ili niipate kadi nyingine ?nitumie njia zipi ?