Kadi tatu za njano alizopata Fakhi mchezaji wa Kagera sugar hizi hapa

Ha ha ha Simba bhana!!
Eti yule Mwarabu wao anadai Mechi ya Yanga na Simba mwamuzi atoke nje ya nchi!!
Sijui alisomea wapi huyu jamaa!! Hata sheria za ligi hazifahamu!!

Nyie tulieni KIMEZAMA NDANI. Adhabu siyo points tu. Hata fedha ni adhabu. Au kufungiwa mechi kadhaa!!

KOMBE hadi mtengeneze mdori.
 
Thubutu..nani atoe points...Yanga anachukua kombe mara ya tatu mfululizo..ndoo inawekwa makumbusho ya Taifa mikia muwe mnaenda kuishangaa
 
Usengerema mlianzisha wenyewe mchezaji kuchagua mechi...mikia Fc mko desperate na ubingwa....Yanga misukosuko kibao na wanachukua kombe...Msaada wa Bashite na bado mnashindwa..Chezeni ligi daraja LA kwanza
 
Tatizo jf imekuwa Kama gulio ambalo halina msimamizi. Mada Kama hii nilitarajia aje mtu anayejua kanuni atufafanulie kuliko hapa blabla mingi ila hakuna njia Kama Simba wanastahili point tatu au la? Be civil acheni utoto
 
Simba tuache kulia lia, tulifungwa na walituzidi uwezo, je asingekuwa na hizo kadi za njano tungetoa kisingizio gani??
Ila yanga haitakiwi kuchukua ndoo mwaka huu, kagera apewe point zake ila yanga hana chake, ni mnyama!
 
Mmeshindwa kucheza uwanjani mmeamia mezani
wacha kujito ufahamu kana kwamba hamjawahi kupata pointi za mezani............yue mchezaji alizuai goli nne za wazi kumbe hakustahili kucheza na marufku kujifanya unabadili kanuni za mpira
 
Simba tuache kulia lia, tulifungwa na walituzidi uwezo, je asingekuwa na hizo kadi za njano tungetoa kisingizio gani??
Ila yanga haitakiwi kuchukua ndoo mwaka huu, kagera apewe point zake ila yanga hana chake, ni mnyama!

Tungekuwa tumefungwa kwa haki na wala tusingelalamika acha tutafute haki mwanaume n kupambana had mwisho acha unaaaaaaa points mezani ni points halali pia....
 
Usengerema mlianzisha wenyewe mchezaji kuchagua mechi...mikia Fc mko desperate na ubingwa....Yanga misukosuko kibao na wanachukua kombe...Msaada wa Bashite na bado mnashindwa..Chezeni ligi daraja LA kwanza
Hivi unajua kuwa mechi ya Simba na yanga raundibya kwanza tff waliwapendendea, hamkustahili droo, sisi ni kama tulinyang'anywa point 2.
 
wacha kujito ufahamu kana kwamba hamjawahi kupata pointi za mezani............yue mchezaji alizuai goli nne za wazi kumbe hakustahili kucheza na marufku kujifanya unabadili kanuni za mpira
Lakini mkuu mbona nyie mchezaji wenu alichagua mechi ya kucheza haukulalamika?
 
Wanaostahili kulaumu hili ni kagera na si Yanga.Fakhii kama alitaka kuchagua mechi angeomba kuchagua kabla ya mechi yao na simba.Atachagu vipi wakati kakiuka mashariti ya adhabu? Kwa kumbukumbu huyu Fakhii ndiye aliyekuwa kikwazo kikuu kwa Ajibu hapo mbele.Watu mnalalama ovyo kabisa.Huyu ni beki tegemeo Mtibwa na ndiye aliyezuia combination ya simba hapo mbele.Ila hii rufaa ingekuwa ya Yanga watu mngepongeza kwa nderemo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…