Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsantee sana mkuu wengi wamelisahau hiliHata Serengeti wanatua Gabon kwa maamuzi ya mezani. Haitaki hasira kikubwa taratibu za mchezo zizingatiwe.
IPI ya FA apo mkuu? Hakuna ya FA apo mana FA walicheza na mbao fcmechi moja ni fa na mbili za ligi kuu mpaka hapo rufaa imefeli
Kama ni kweli itakuwa kama ilivyokuwa kwa Simba mchezaji anachagua mechi ya kukosa hivyo hachezi mechi ijayo SIMBA ilikuwa lazima ife kwanza.KADI TATU ZA NJANO ALIZOPATA FAKHI MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR
1. Mchezo namba 122 uliopigwa Sokoine tarehe 17 December dhidi ya Mbeya City.
2. Mchezo namba 165 uwanja wa Kaitaba mchezo dhidi ya African Lyon . Ulipigwa tarehe 18 January.
3. Mchezo namba 190 uwanja wa Kaitaba tarehe 4 March , mechi dhidi ya Majimaji.
Mechi hizi ndizo ambazo zimewafanya Simba SC kuikatia rufaa Kagera Sugar kwa kumchezesha mlinzi wao Mohamedi Fakhi katika mechi ya April 2, 2017 Kaitaba ambapo Simba alifungwa goli 2-1.
Kama madai haya yatakuwa kweli kwa ushahidi wa mechi hizo tatu , ina maana Simba watapewa alama tatu za mchezo huo waliopoteza.
Imecheza ngapi I na unaweza kuzitaja?Wamechemsha kweli maana kutoka Dec hadi Apr kagera imecheza mechi nne tu?
KADI TATU ZA NJANO ALIZOPATA FAKHI MCHEZAJI WA KAGERA SUGAR
1. Mchezo namba 122 uliopigwa Sokoine tarehe 17 December dhidi ya Mbeya City.
2. Mchezo namba 165 uwanja wa Kaitaba mchezo dhidi ya African Lyon . Ulipigwa tarehe 18 January.
3. Mchezo namba 190 uwanja wa Kaitaba tarehe 4 March , mechi dhidi ya Majimaji.
Mechi hizi ndizo ambazo zimewafanya Simba SC kuikatia rufaa Kagera Sugar kwa kumchezesha mlinzi wao Mohamedi Fakhi katika mechi ya April 2, 2017 Kaitaba ambapo Simba alifungwa goli 2-1.
Kama madai haya yatakuwa kweli kwa ushahidi wa mechi hizo tatu , ina maana Simba watapewa alama tatu za mchezo huo waliopoteza.
Nakumbuka sisi tulivyolalamika kuhusu Ajib tukaambiwa ni hiari ya mchezaji kuchagua mechi gani asicheze so naomba watani na nyie mtulie Fakhi ataamua mwenyewe mechi ipi asicheze kwa Simba ilikuwa lazma acheze alikuwa anawataka sana keshamaliza ss kazi yke ataamua mechi ipi asicheze!IPI ya FA apo mkuu? Hakuna ya FA apo mana FA walicheza na mbao fc
Swadaktaaaaaa tatzo wanasahau mapema mno!Kama ni kweli itakuwa kama ilivyokuwa kwa Simba mchezaji anachagua mechi ya kukosa hivyo hachezi mechi ijayo SIMBA ilikuwa lazima ife kwanza.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli TFF IMEKIRI KUWA WALIMCHEZESHA MCHEZAJI ALIEKUWA ANATUMIKIA ADHABU.
SO KAMA HUJAFURAHI ENDELEA KUTOFURAHI