Kadi tatu za njano alizopata Fakhi mchezaji wa Kagera sugar hizi hapa

Mchezo namba 165 FAKHI hakupata kadi. Ila rushwa ikitembea makaratasi yatabadilishwa na waamuzi husika watasema uongo hivyo Simba mtapewa pointi
 
Rejea mechi ya simba na kagera stars simba kupokwa point 3 kwa kumchezesha musa hassan mgosi na ubingwa kwenda yanga kwa tofauti ya point mojaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mchezo namba 165 Fakhi hakupata kadi. Kwa waliofuatilia mechii wataniunga mkono
 
Haijalishi alipata au hakupata sheria zinabadilika kutokana na hali ya wakati huo sasa kadi atapata hata kama Mpira ulishachezwa tunatafuta kosa ambalo lilistahili kadi anapewa mchezo umeisha tena mkiendelea na kelele tutampa nyekundu
 
Hata hivyo hakuna sheria ya kupokonywa pointi zaidi ya faini tu hapo kwa timu husika..

Hizo Ni Sheria Za Jangwani lakini sio TFF wala FIFA....
Hata Huko Ulaya Kama utakumbuka Real Madrid Walitupwa Nje Ya Ligi (Copa De Larey) na Benitez akatimuliwa kwa Sababu ya Hizo Kadi Za Njano...... Wewe Unazungumzia Faini...!!!!!????? Ridiculous.........
 
Simba yangu jamani,, yaani tumetoka kusakata kabumbu hadi kulilia point za mezani?
 
Mda huu sio wa kupata point rahisi ivo, jioni hii Simba wenzangu.
Tupambane uwanjani ili tupate ubingwa.
 
Wataaibika hawa mikia katika kadi hizo tatu moja ni ya mchezo wa kombe la FA haingiliani na VPL sasa tafuteni sababu nyingine, nyie kushiriki kimataifa mpaka sisi tuamue nyambafu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wamatopeni
hiyo ni Avatar YAKO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…