kinjekitile70 JF-Expert Member Joined Oct 11, 2017 Posts 1,072 Reaction score 1,424 Dec 2, 2017 #21 RIP faru Fatuma, tumekumiss sanaaa
Medecin JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 8,221 Reaction score 22,496 Dec 2, 2017 #22 yorkshire said: bila kumsahau rais wa mioyo Click to expand... haaaa haaaa haaa rais wa mioyo ya watanzania nilimsahau huyo.
yorkshire said: bila kumsahau rais wa mioyo Click to expand... haaaa haaaa haaa rais wa mioyo ya watanzania nilimsahau huyo.
G Getang'wan JF-Expert Member Joined Apr 9, 2015 Posts 3,076 Reaction score 3,416 Dec 2, 2017 #23 muuza ubuyu said: Uzuri kadi upo wazi anaapishwa kama "raisi wa watu" na wala si kama "raisi wa kenya!" Click to expand... Venue?
muuza ubuyu said: Uzuri kadi upo wazi anaapishwa kama "raisi wa watu" na wala si kama "raisi wa kenya!" Click to expand... Venue?
Chillah JF-Expert Member Joined Oct 12, 2016 Posts 8,870 Reaction score 10,066 Dec 2, 2017 #24 Hii kadi wamepewa viongozi gani? wa nchi hata za hapa jirani, na muitikio upoje? wamekubari kwenda au... wana hudhuru?
Hii kadi wamepewa viongozi gani? wa nchi hata za hapa jirani, na muitikio upoje? wamekubari kwenda au... wana hudhuru?
Rekondoboshiki JF-Expert Member Joined Nov 24, 2017 Posts 228 Reaction score 280 Dec 2, 2017 #25 Huyu jamaaa mjinga sana, anahatarisha usalama wa nchi! Adhibitiwe mapema
Lutsala JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 547 Reaction score 223 Dec 2, 2017 #26 Polic wanafanya mazoezi sasa
P pye Chang shen JF-Expert Member Joined Jul 11, 2016 Posts 11,422 Reaction score 6,108 Dec 2, 2017 #27 Tuna cha kujifunza hapo?
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,340 Reaction score 12,055 Dec 2, 2017 #28 The man is running mad!
Jambazi JF-Expert Member Joined Jan 18, 2014 Posts 16,648 Reaction score 18,742 Dec 2, 2017 #29 Najiuliza RAILA ataenda kukaa ofisi/Ikulu ipi? Kusingekuwa na uwezekano wa huyu jamaa akagombea ubunge akaachana na urais?
Najiuliza RAILA ataenda kukaa ofisi/Ikulu ipi? Kusingekuwa na uwezekano wa huyu jamaa akagombea ubunge akaachana na urais?
McDonaldJr JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 6,386 Reaction score 7,558 Dec 2, 2017 #30 Anaemuuzia bangi Raila inabidi apunguze dozi mzee anaenda mrama sasa ivi kichwa imejaa moshi itakua.
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,033 Reaction score 10,622 Dec 2, 2017 #31 Watu kama hawa wangekuwa bongo kwa watu tusiojaribiwa ndo wangejua namna ujinga wa hivi unavyodhibitiwaga
Watu kama hawa wangekuwa bongo kwa watu tusiojaribiwa ndo wangejua namna ujinga wa hivi unavyodhibitiwaga
K kiatu kipya JF-Expert Member Joined Dec 4, 2016 Posts 3,269 Reaction score 1,977 Dec 2, 2017 #32 Nionyeshe rafiki zako nijue tabia zako bhasi huyo ndo RAO rafiki wa damu wa....
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Dec 2, 2017 #33 [emoji1][emoji1][emoji1]
Airmanula JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 3,527 Reaction score 5,762 Dec 2, 2017 #34 Nmeishia kucheka tu...nani atamuapisha au atajiapisha mwenyewe
kelao JF-Expert Member Joined Sep 24, 2012 Posts 8,132 Reaction score 5,800 Dec 2, 2017 #35 Ngoja tuone
ismail khali Member Joined Oct 7, 2017 Posts 59 Reaction score 20 Dec 2, 2017 #36 Ndg yake seif hamad,wanadhan w2 wajnga bado
Zuwenna JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 2,133 Reaction score 3,758 Dec 2, 2017 #37 Nimaandalizi yakuua watu tu hayo
M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Dec 2, 2017 #38 Naona RAO amepamiss sana lupango (jela)! Mfanyieni fadhila ya kumpeleka jela! Amekumbuka dona chungu na maharage yenye wadudu! Pia zile bukta za wafungwa amezimiss sana! Kwa kuapishwa ni wazi kuwa atakwenda jela!
Naona RAO amepamiss sana lupango (jela)! Mfanyieni fadhila ya kumpeleka jela! Amekumbuka dona chungu na maharage yenye wadudu! Pia zile bukta za wafungwa amezimiss sana! Kwa kuapishwa ni wazi kuwa atakwenda jela!
Bishop Hiluka JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 7,147 Reaction score 14,699 Dec 2, 2017 #39 πππππππ΅ππ³π± Hmm!...
Zanzibar-ASP JF-Expert Member Joined Nov 28, 2013 Posts 11,550 Reaction score 40,697 Dec 2, 2017 #40 Nitashangaa sana kama Magufuli atakwepa kuhudhuria hili tukio. Hiki ndio kipimo cha urafiki wa kweli kati ya Raila na Magufuli.
Nitashangaa sana kama Magufuli atakwepa kuhudhuria hili tukio. Hiki ndio kipimo cha urafiki wa kweli kati ya Raila na Magufuli.