Kadi ya Mualiko wa kuapishwa Raila Odinga yatolewa.. Ataapishwa Sikukuu ya Uhuru wa Kenya (12 Desemba)

Kadi ya Mualiko wa kuapishwa Raila Odinga yatolewa.. Ataapishwa Sikukuu ya Uhuru wa Kenya (12 Desemba)

Bandari ya Dar sasa imefurika kweli had kero na hii ni kwasababu wafanyabiashara wengi waliokuwa wanatumia bandari ya Mombasa sasa wanatumia bandari ya Dar kwaajili ya kuhofia usalama wa mali zao. Wakenya acheni upuuzi Odinga anaharibu nchi yenu
 
Aisee wahudhuriaji wanarudi kweli? Huo ni mwaliko wa Jehenamu
 
Huyu anatakiwa kudhibitiwa vinginevyo ataharibu uchumi wenu wakenya

Mtu kakimbia saduku la kura 26/10/2017 halafu anadai anataka kuwa Rais wa watu?! huu ni uenda wazimu na kuchanganyikiwa. Jaji Mkuu alikuwa amemuaidia kuwa atafuta tena uchaguzi lakini Baba kamuangusha Chief Justice Maraga kwani Raila alikuwa amepewa upendeleo wa kipekee na Mahakama Kuu ya Kenya.
 
Back
Top Bottom