Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Mwamedi hawezi sajili kwa fedha zaidi ya kusubiri wasio na mikataba kama kina LokosaMo sajili striker la kuanzia bilioni 1. Jitu kama Jackson Muleka aliyekuwa TP Mazembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwamedi hawezi sajili kwa fedha zaidi ya kusubiri wasio na mikataba kama kina LokosaMo sajili striker la kuanzia bilioni 1. Jitu kama Jackson Muleka aliyekuwa TP Mazembe
Mashudu, mshahara wa mchezaji mmoja wa Orlando Pirates unalipa timu nzima ya MudiAcha kukariri ivi kwa akili yako hiyo Orlando pirates na simba ipi timu kubwa kwa sasa?
Wewe sasa una matatizo si bure!Acha kukariri ivi kwa akili yako hiyo Orlando pirates na simba ipi timu kubwa kwa sasa?
Unataka kutuambia Sarpong anaweza kuwa moto akienda simba?Mpira hauko hivyo, sanchez katoka arsenal wa moto kaenda kuwa mashuzi tu manchester,mifano ipo kede kede.. Torres alitoka liver wa motooo, chelsea akenda kuwa baridiiii..
Haya mambo yanachangiwa na vitu vingi mnoo, moja wapo ni kocha, mchezaji anaweza kuwa popoma kwa malimu huyu, ila akija mwingine anakuwa moyo balaa.. Wakina victor moses chini ya conte
Yoote yanawezekana...Unataka kutuambia Sarpong anaweza kuwa moto akienda simba?
Hahahahaha!Unataka kutuambia Sarpong anaweza kuwa moto akienda simba?