Kadima Kabangu: Nitafunga sana nikicheza Simba

Kadima Kabangu: Nitafunga sana nikicheza Simba

Mpira hauko hivyo, sanchez katoka arsenal wa moto kaenda kuwa mashuzi tu manchester,mifano ipo kede kede.. Torres alitoka liver wa motooo, chelsea akenda kuwa baridiiii..

Haya mambo yanachangiwa na vitu vingi mnoo, moja wapo ni kocha, mchezaji anaweza kuwa popoma kwa malimu huyu, ila akija mwingine anakuwa moyo balaa.. Wakina victor moses chini ya conte
Unataka kutuambia Sarpong anaweza kuwa moto akienda simba?
 
Back
Top Bottom