Kadinali Rugambwa ampokea Rais Samia Tabora

Hakuna askofu mkuu wa katoliki Tanzania soma ujifunze na kuelimika.
 
Kwanza hajawa Askofu mkuu wa jambo kuu Tabora rasmi.
 
Hata Nyerere alisoma Tabora boys
Akaomba support ya wazee wa Tabora kupata Uhuru wa Tanganyika
Na ndiko alikojifunzia kucheza bao na kunywa kahawa kama maza leo
Hiyo ndio mboka ya manyema
Aka Toronto
 
Rugambwa si Askofu Mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania.umekurupuka
 

Huu ni upotoshaji mkubwa!

Msiwe mnaandika mambo msiyo na uelewa nayo. HAKUNA ASKOFU MKUU WA KANISA KATOLIKI TANZANIA. Hicho cheo labda kama umekitengeneza wewe.

Kadinali Rugambwa ni kadinali, wala siyo Askofu Mkuu wa jimbo kuu la Tabora. Majimbo makuu kwa Tanzania yapo 7: Jimbo kuu la Dar, Mwanza, Mbeya, Arusha, Songea, Dodoma na Tabora.

Maaskofu wote wapo chini ya TEC, ambayo kiongozi wake huchaguliwa na maaskofu wote, yaani majimbi makuu na ya kawaida.

Rugambwa, zaidi ya kuwa Askofu, ni kadinali, nafasi ambayo kimsingi inampa haki ya kumchagua Papa, kule Vatikani lakini hana maamuzi yoyote juu ya maaskofu wenzake.
 
Mimi ndo huyo mama wa pili kwenye bench toka Julia🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20231018-202456_1.jpg
    48.5 KB · Views: 3
Kukutana naye haimaanishi msimamo wao zidi ya dipi wedi umebadilika,
aidha ni yeye ndio kabadili msimamo au anajaribu kufanya robbing akifikiri hao
Ni kama sheikh ubwabwa, alianza na mil100 sasa ameibukia kwa rugambwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…