Uchaguzi 2020 Kadiri siku zinavyosogea wanachama na wafuasi wa CHADEMA wanatepeta

Uchaguzi 2020 Kadiri siku zinavyosogea wanachama na wafuasi wa CHADEMA wanatepeta

HII NI WIKI YA KAMPENI KWA POLISI DHIDI YA CDM SIJAONA ISHU ZA HOJA HAPO
 
Kama ingekuwa hivyo CDM wasingepata umati mkubwa katika mikutano yao! Pamoja na kusimamishwa kufanya kampeni,Fuatilia ziara ya Mgombe mwenza Nachingwea jinsi wananchi walivyoonyesha imani kwa CDM.
CCM wanatembelea kauli hii ya M/Kiti wao,"Nimekupa Gari na Nyumba harafu umtangaze Mpinzani".
 
Endeleeni kujitekenya Meko hana chake..nilichokiona jana Songea ngome ya CCM Mh Mwalimu ni kama Yohana mbatizaji akienda Lissu itakuwa hatari
 
Haki, uhuru na maendeleo ya watu! Hatusemi kuwa miradi yote ya taifa ni kosa la hasha ila inapobidi kuchagua kati ya utu na miradi mikubwa chagua utu and do no harm to your people! Tazama issue ya wananchi wa ubungo/kimara na kibamba! Unataka wawapeni kura kweli?????????
 
Unaropoka hujui unachosema...Mmezeshana hizi hoja na kwa sababu mmekaa kupinga kila kitu hamna records ya yaliyofanywa kwa taarifa yako unachosema sio kweli....Kajipangeni!


Itakuwa umeelewa dozi zimekupata vizuri
 
Wewe umetumwa endelea kutumika,hakuna kitu kama hicho,CCM ndio mmetepeta
 
Back
Top Bottom