Unaropoka hujui unachosema...Mmezeshana hizi hoja na kwa sababu mmekaa kupinga kila kitu hamna records ya yaliyofanywa kwa taarifa yako unachosema sio kweli....Kajipangeni!
Nenda kwenye Twitter ya Pompeo..jamaa wanakuja 28/10 hawataki dhuruma ifanyike..BagoshaNdio hoja za kuichachafya Ccm?
Pompeo ana mamlaka gani hapa Tanzania?Nenda kwenye Twitter ya Pompeo..jamaa wanakuja 28/10 hawataki dhuruma ifanyike..Bagosha
Si mandondocha ya Lumumba yame pewa unga yana furahiMlipigiana simu mshambulie kwa pamoja...
Nipo CCM lakini kampeni kama izi znapendeza sanaAmechoshwa na vurugu za Lisu