eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,379
Habari ya music unaweza kusema ni kwa lebo ya King's music bila kumsahau baba yao mwenyewe Aly kiba
Kwa sasa you tube imechafuka na habari ni KADOGO na MASOZY
Kwa sasa unaweza kusema hakuna music barani afrika unaotamba zaidi ya hizi nyimbo mbili kutoka katika lebo ya King's music na Rockstar Africa
Nitoe pongezi kwao kwa nyimbo Kali na Video zenye mvuto