Kadogo na Masozy zinavyokimbiza Africa na duniani

Kadogo na Masozy zinavyokimbiza Africa na duniani

eden kimario

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2015
Posts
10,356
Reaction score
16,379
Habari ya music unaweza kusema ni kwa lebo ya King's music bila kumsahau baba yao mwenyewe Aly kiba

Kwa sasa you tube imechafuka na habari ni KADOGO na MASOZY

Kwa sasa unaweza kusema hakuna music barani afrika unaotamba zaidi ya hizi nyimbo mbili kutoka katika lebo ya King's music na Rockstar Africa

Nitoe pongezi kwao kwa nyimbo Kali na Video zenye mvuto
 
It seems that you know nothing about music, I'm here in CHATO CITY every street I pass only WCB music is what I hear.
 
Mlizoea kubustiwa sana nyinyi sa hivi no Booster mmevurugwa
 
Views milioni ngapi hadi sasa?[emoji56]
 
Back
Top Bottom