Kadogosa, bila shaka kimkataba, wakorea waliotengeneza treni yetu wanapaswa kuwa wanatembea nayo kwa walau miaka mitatu ili kubaini mapungufu

Kadogosa, bila shaka kimkataba, wakorea waliotengeneza treni yetu wanapaswa kuwa wanatembea nayo kwa walau miaka mitatu ili kubaini mapungufu

TRC washirikiane na tanesco pamoja na hao wakorea bila hivo watakosa abiria
 
I agree, hasa mfumo wa umeme wa train uweze kujisoma wenyewe automatically kuwa wapi umeme umekatika kabla ya train hata kufika eneo hilo, yaani from Main Office, tusema Dar au ofisi yoyote ya SGR yenye mafundi hata Dodoma au Moro au Mwanza au Tabora hapo baadae, umeme ukikatika kokote kule njiani, mfumo uweze kuona na kutoa taarifa haraka 24/7 ili tatizo lidhibitiwe haraka sana hata kabla ya train ya umeme kufika hiyo sehemu yenye hitilafu..!! Nadhani hii sio ngumu kabisa
kwani si walisema treni yetu umeme ukikata inatumia mafuta na abiria hatagundua kuwa kuna hitilafu ya umeme?
 
Mtoto mdogo akianza kubalehe kimwili au kiakili, maana unaweza balehe kimwili kumbe kiakili bado sana ni mtoto hujabalehe au umeanza kubalehe, kama hajalelewa vizuri, huanza utovu wa nidhamu na kuwatusi wazazi wake kuwa ni wajinga sana, hawana akili, hawafai kuwa wazazi wake, matusi mengi mengi..!!

Mimi nakulinganisha na mtoto aliyeanza balehe kiakili but hujalelewa vema, I know biologically, umeshabalehe au kuvunja ungo kama ni msichana, but kiakili bado uko kwenye balehe, endele kuidharau CCM, iko siku ukikuwa kiakili utajua CCM ndio Baba na Mama bora kabisa kukulea hadi hapo ulipo. Sbb labda huna exposure ya kutembelea nchi mbalimbali duniani ndio maana unaitusi CCM.

Bila CCM imara leo tungekuwa kama Kenya, Somalia, Eritrea, Sudan, South Sudan, Congo DRC, Burundi, Rwanda, Egypt, Libya, CAR, Burkina Fasso, Ukraine, Russia, North Korea, Yemeni, Iran, Lebanon, Syria, Iraq, etc etc, sbb hujui lolote ndio maana unaitusi CCM utakavyo, hizo nchi leo hulali hukai hujui kesho yako, huna uhakika wa usalama wako, amani haipo, maisha ni hatari sana, binadamu wanakimbia kwa miguu kuhama, nadhani hutanielewa sbb hujakuwa kiakili bado sana, nchi hizo wanajeshi na polisi wenye mitutu na magari vita ya kila aina ipo mitaani kwao.

CCM ndio uishukuru mchana na usiku, hata kama kuna makosa yapo tunakiri, i didn’t say CCM is perfect, no, but overall, we are better off, kuliko vyama vyote barani Africa na vingine vingi duniani, hata hapa nyumbani, CHADEMA wa hapa ndani mnaona jinsi hakuna demokrasia wala uhuru, ni udikteta tupu, ila CCM iko huru kabisa, uwazi na ukweli katika uongozi wa kupata wagombea, kupokezana vijiti kwa amani katika nyakati tofauti, hata kama kuna makosa ya hapa na pale, CCM inajirekebisha haraka na mnaona wazi wazi, kama ni wahusika wanachukuliwa hatua haraka kabisa, ni CCM inakufanya hata wewe uwe huru utukane mitandaoni, uwe huru kujibu utakavyo, una amani na kukaa kwenye keyboard yako huna mashaka na ku type CCM ni majambazi, wezi, ila CCM sisi sbb tunajua uongozi tuna uvumilivu, ustahimilivu, busara, akili ya mzazi haswa hatukupigi, hekima, adabu na heshima ya kukusikiliza maoni yako ingawa unatutusi wazi wazi, huo ndio ukubwa na ubobevu wa CCM.

CCM haina mdomo wake, sisi wenye damu ya kijani ndio tunaisemea na kuongea kwa sauti kuu, msikie, mfungue masikio yenu, akili zenu, kwa uhakika na kujiamini kabisa 100% na kuwakumbusha mema mengi yasiohesabika ya CCM, kwani huenda usione kwa sbb zako tu, CCM ndio Baba na Mama, Mungu ibarikia Tanzania, Mungu Ibariki CCM, Mungu mbariki Rais wetu mpendwa Mama Samia, Amen..!! 🙏🙏🙏✅🟩🟢🔰🇹🇿💚💛
Nyie majangili mnaiba bila kusumbuliwa
 
Sidhani kama hili halikuwekwa kwenye mkataba, kwamba waliotengeneza treni hiyo wanatakiwa kutoa warrant ya sio chini ya miaka mitatu, na pia, kwa muda walau wa mwaka, washiriki moja kwa moja pamoja na watanzania katika kuiendesha katika safari zake.

Hii itasaidia kuhamisha maarifa kwa mafundi na madereva, na pia kubaini mapungufu ambayo yataonekana, ili yafanyiwe kazi, kama behewa au kichwa cha treni kina shida, kinabainika na kurudishwa.

Pia hata kama ikitokea shida ya umeme katika mifumo, iwekwe namna ya kuiona shida hiyo ilipo kwa kutumia mifumo ya kisasa yq kuona tatizo lilipo, badala ya kukaa saa nzima.

Mifumo inatakiwa kuwa na prediction ya tatizo hata kabla halijtokea, i mean iwe inajikagua yenyewe electronically na kupelekea taarifa.
Ile syndrome ya kuamini wazungu bado ipo? Mnataka vitu soft wakati wazungu hao ndo wamewauzia dini na.wao wamesha achana nayo.
 
Back
Top Bottom