Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

Sasa si awataje!!!
Embarrassing.
 
Kipande cha reli SGR DSM Morogoro Kilosa Dodoma tayari imekuwa changamoto ?

 
Halafu kuna wajinga wanasema CCM haina mbadala!
 
Hivyo vitisho havina maana, kusanya ushahidi piga kesi ya uhujumu uchumi. Ni upuuzi kuhujumu mega projects
Umesema kweli. Huyo Kadogosa ndiyo mkurugenzi mkuu, halafu anaanza kulalamika, huo ni upuuzi wa kutaka aonekane anafanya kazi wakati huenda ni poor performer.

Kiongozi yeyote mahali alipo, anatakiwa apambane kutatua changamoto siyo kulalamika.

Kadogosa awaambie watanzania, ni nani huyo anayehujumu SGR, na yeye kama aliyepewa dhamana ya kuhakikisha SGR inafanya kazi kwa ufanisi, amechukua hatua gani dhidi ya hao wanaoihujumu. Isije ikawa uwezo wake wa kutatua changamoto ni duni, na sasa ameanza kutafuta visingizio.
 
Aisee Hawa watu Huwa w
Hilo lazima lingetikea tu maana mradi unaziba fursa za matajiri na vigogo wengi. Awataje hadharani tuwapige mawe huku mtaani hao wasaliti wa nchi
ana nguvu haujawai waza wala kufkir ,,wanaweza kumuondoa mtu yeyote uhai anapocheza na maslah Yao,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…