Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

Tukiwaambia hiyo ni nchi ya β€˜pwagu na pwaguzi’ mtuelewe.

Na haiwezi piga hatua za haraka kamwe bila ya mtu kama Magufuli.

Upuuzi wa haya malalamiko unaonyesha the extent of ignorants waliojaa kwenye vyombo vya usalama wa Tanzania na hawajui lolote kuhusu risks nor sabotage za uchumi.

Bandari ni cash cow ya Tanzania akija raisi mwenye akili zake timamu (sio hiyo mama). Kenya wanamezea mate huo ukanda ambao sisi tunaudharau.

Kagame aliwahi sema yeye angekuwa raisi wa Tanzania, angeipaisha kwa bandari tu; achilia madini, mbuga na mazaga-zaga mengine nchi iliyobarikiwa nayo.

Huko Singapore hawana lolote ni bandari tu ndio imewatoa kwenye umaskini mpaka walipo.

Halafu mtu athubutu kabisa kuchezea miundombinu ambayo ni muhimu kwenye ku-support uchumi wa bandari huko mbele achekewe.

US karibu asilimia 90% ya railroad ni private, embu gusa uone FBI, CIA na security agency zote zitakavyokusaka na kukufanya mfano mwingine asijaribu.

Uwezi chezea infrastructure nchi zilizoendelea lisiwe swala la national security, mambo kama haya yanawezekana Tanzania tu.

Yaani mkurugenzi wa railway ndio alalamike kuhujumiwa, hilo sio swala la usalama wa nchi.

Tanzania ni maskini kwa sababu asilimia kubwa ya watu waliopo kwenye sensitive posts za nchi hawana uwezo, hilo lipo wazi

Yaani mtu anahujumu train kabisa na vyombo vya ulinzi wala, upuuzi wa Tanzania ni wa kipekee.
 
Awataje wazi kabla ya kufanikiwa kuhujumu reli yetu tuchome moto Mali zao iwe ubaya ubwela
 
Huyu anajishitukia tu baada ya kupiga pesa na kuleta treni ya mchongo hakuna anaehujumu wala nini ni mitambo yao mibovu iliyochoka
Nafikiria tu ukikosea ukanunua Kirikuu mbovu matesoo yakeπŸ”ͺ je ukinunua nanihii itakuwaje kwa mfano
 
Tanzania ni kama channel ya vichekesho,Kuna muda mpaka CEO wa kampuni yetu analalamika badala ya kutatua changamoto.

Tuna mifumo ya hovyo kabisa ya kuanda viongozi na wakuu wa taasisi,kwa maendeleo endelevu.
 
Wacha mama abduli aendelee tu kuchekea wahuni huko juu akiamini kuwachekea ndio watampenda sana.
 
Atakua esta na abudu hao wana tabia mbaya hawa watoto
 
Hakuna mnyonge anaweza kuhujumu huo mradi, ni wale wale papaz...
 
Ukishaona tu wafanyabiashara wanajiingiza kwenye siasa au wafanya maamuzi wanaanza kufanya biashara ujue hakuna mradi wa Serikali utakaofanya vizuri
 
Hapo sasa ndio huwa tunataka kuona kazi ya TISS, JW, POLISI ETC. Tulindieni vitu vyetu vizuri. Nchi inamapungufu mengi ila kwenye mambo ya maana kama SGR tuwe wakali wakuu.
Umesema vema mkuu barikiwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…