Ili ilishakufa, vyuma vyake vishakuwa majembe, mapanga na visu vya mabuchani.Krismas kuna ile TREN ya Komredi Polepole 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili ilishakufa, vyuma vyake vishakuwa majembe, mapanga na visu vya mabuchani.Krismas kuna ile TREN ya Komredi Polepole 😂
Mitumba ya mwaka 47 waache kisingizio cha kuhujumiwa.Huu mradi haufiki Nyerere day
Nafikiria tu ukikosea ukanunua Kirikuu mbovu matesoo yake🔪 je ukinunua nanihii itakuwaje kwa mfanoHuyu anajishitukia tu baada ya kupiga pesa na kuleta treni ya mchongo hakuna anaehujumu wala nini ni mitambo yao mibovu iliyochoka
Tanzania ni kama channel ya vichekesho,Kuna muda mpaka CEO wa kampuni yetu analalamika badala ya kutatua changamoto.Tukiwaambia hiyo ni nchi ya ‘pwagu na pwaguzi’ mtuelewe.
Na haiwezi piga hatua za haraka kamwe bila ya mtu kama Magufuli.
Upuuzi wa haya malalamiko unaonyesha the extent of ignorants waliojaa kwenye vyombo vya usalama wa Tanzania na hawajui lolote kuhusu risks nor sabotage za uchumi.
Bandari ni cash cow ya Tanzania akija raisi mwenye akili zake timamu (sio hiyo mama). Kenya wanamezea mate huo ukanda ambao sisi tunaudharau.
Kagame aliwahi sema yeye angekuwa raisi wa Tanzania, angeipaisha kwa bandari tu; achilia madini, mbuga na mazaga-zaga mengine nchi iliyobarikiwa nayo.
Huko Singapore hawana lolote ni bandari tu ndio imewatoa kwenye umaskini mpaka walipo.
Halafu mtu athubutu kabisa kuchezea miundombinu ambayo ni muhimu kwenye ku-support uchumi wa bandari huko mbele achekewe.
US karibu asilimia 90% ya railroad ni private, embu gusa uone FBI, CIA na security agency zote zitakavyokusaka na kukufanya mfano mwingine asijaribu.
Uwezi chezea infrastructure nchi zilizoendelea lisiwe swala la national security, mambo kama haya yanawezekana Tanzania tu.
Yaani mkurugenzi wa railway ndio alalamike kuhujumiwa, hilo sio swala la usalama wa nchi.
Tanzania ni maskini kwa sababu asilimia kubwa ya watu waliopo kwenye sensitive posts za nchi hawana uwezo, hilo lipo wazi
Yaani mtu anahujumu train kabisa na vyombo vya ulinzi wala, upuuzi wa Tanzania ni wa kipekee.
Wacha mama abduli aendelee tu kuchekea wahuni huko juu akiamini kuwachekea ndio watampenda sana.Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Hivyo vitisho havina maana, kusanya ushahidi piga kesi ya uhujumu uchumi. Ni upuuzi kuhujumu mega projects
MajambaziCCM ni wahujumu uchumi wakubwa
Atakua esta na abudu hao wana tabia mbaya hawa watotoKufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Hakuna mnyonge anaweza kuhujumu huo mradi, ni wale wale papaz...Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Uzembe gani alioufanya.Huu ni uongo na kichaka Cha kujificha kukwepa kuwajibika Kwa sababu za uzembe.
Hakuna anaweza kufanya hivyo maana ni hatari kwake,so asitafute visingizio vya kijinga
Cheti feki, tuliza bichwa somavizuri acha bangi.Shujaa Magufuli au Kichaa Magufuli? Hebu nyoosha maelezo Joe.
you mean 14th october 2025😇😇🤣🙌Huu mradi haufiki Nyerere day
Umesema vema mkuu barikiwa sana.Hapo sasa ndio huwa tunataka kuona kazi ya TISS, JW, POLISI ETC. Tulindieni vitu vyetu vizuri. Nchi inamapungufu mengi ila kwenye mambo ya maana kama SGR tuwe wakali wakuu.