Kadogosa: Kuna njama zinafanywa Kuhujumu treni ya SGR na hazijaanza Leo na tumeshawabaini Wanaotuhujumu!

washafanya yao ndo maana ukaambiwa
 
Babako ndiye shoga ndiyo maana huna kili choco wewe, mashoga mnajifanyaga wababe kumbe ukali wa sindano tu nyuma uzi unaingia.
Mamaako ananijua vizuri kama Baltasar Engonga. Hivyo kuwa na heshima unapoongea na baba yako.
 
Sitashangaa wakitajwa CHADEMA
 
Taifa linaangamia kwa kukosa uzalendo.
Majizi ya ccm hovyo sana yamekuka yamevimbiwa hadi uzakendo umewatoka.
Maviongizi yasiokuwa na uzalendi na nchi yanakwenda kununua matreni mabovu kwa bei kubwa ili yapige pesa .
Matreni yao mabovu yanaanza kuwaumbua wanalalamika uzalendo.
Ifike mahala maviongozi kama haya yaliyoenda kununua hayo matreni wanyongwe hadharani
 
Defensive mechanism.. inasemekana mama akirudi kuna mkeka upo tayari
 
Chadema walikuwa wanaita ni maendeleo ya vitu ili kuprove theory yao wameingia kazini kukata nyaya sasa
 
Kinachosikitisha ni wengi wameamini hii drama alaf vitu real kama utekaji ndo tukaaminishwa ndo drama, my poor country people
 
Tetesi
 
Watakuwa mabeberu hawa😃😃
 
Lazima aongee Tujue, unataka atunze siri ili iweje. Ongea Kadogosa tuwajue
 
Dr monroe aliwahi sema if the purpose of a thing is not known abuse is inevitable. Hii ina maana lazima tuwe principles katika kuendesha taasisi zetu zote.Siasa na uchawa haviwezi kuwa mbadala wa princeples.
 
Huu ni uongo na kichaka Cha kujificha kukwepa kuwajibika Kwa sababu za uzembe.

Hakuna anaweza kufanya hivyo maana ni hatari kwake,so asitafute visingizio vya kijinga
Hayo maneno ya Kadogosa kama ndio angeyatamka Rais Samia bado ungetoa comment kama hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…