Daaaaah Kadogosa aweke Camera za ulinzi Ofisini - Watafuta Fedha Mjini
View: https://youtu.be/Gv7vLQwG9fg?si=Iecv7hnvrn1GbpZb
wewe nawe, umekomaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaaaah Kadogosa aweke Camera za ulinzi Ofisini - Watafuta Fedha Mjini
View: https://youtu.be/Gv7vLQwG9fg?si=Iecv7hnvrn1GbpZb
washafanya yao ndo maana ukaambiwaKiongozi anaongea maneno ya kwenye khanga.
Kiongozi unaongeaje upuuzi?
Ushahidi upo peleka police
Ushahidi haupo but unajua hujuma police wapo , tiss wapo pccb wapo omba msaada huko. Media zitakusaidia nini?
Au umeona hutoshi kwenye hiyo nafasi unatafuta kiki!
Haya ndio yale, mpaka Rais analaumu huku yeye ni amiri mkuu
kala cha juu ili asiweke wagombea, hovyo sanaNa mmiliki wa SACCO ni kibaka mkubwa sana
Mamaako ananijua vizuri kama Baltasar Engonga. Hivyo kuwa na heshima unapoongea na baba yako.Babako ndiye shoga ndiyo maana huna kili choco wewe, mashoga mnajifanyaga wababe kumbe ukali wa sindano tu nyuma uzi unaingia.
Sitashangaa wakitajwa CHADEMAKufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Majizi ya ccm hovyo sana yamekuka yamevimbiwa hadi uzakendo umewatoka.Taifa linaangamia kwa kukosa uzalendo.
TetesiKufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Watakuwa mabeberu hawa😃😃Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Lazima aongee Tujue, unataka atunze siri ili iweje. Ongea Kadogosa tuwajueKiongozi anaongea maneno ya kwenye khanga.
Kiongozi unaongeaje upuuzi?
Ushahidi upo peleka police
Ushahidi haupo but unajua hujuma police wapo , tiss wapo pccb wapo omba msaada huko. Media zitakusaidia nini?
Au umeona hutoshi kwenye hiyo nafasi unatafuta kiki!
Haya ndio yale, mpaka Rais analaumu huku yeye ni amiri mkuu
Hayo maneno ya Kadogosa kama ndio angeyatamka Rais Samia bado ungetoa comment kama hiyo?Huu ni uongo na kichaka Cha kujificha kukwepa kuwajibika Kwa sababu za uzembe.
Hakuna anaweza kufanya hivyo maana ni hatari kwake,so asitafute visingizio vya kijinga
Rais hawezi tamka maneno ya kijinga kama hayoHayo maneno ya Kadogosa kama ndio angeyatamka Rais Samia bado ungetoa comment kama hiyo?
Swali: kama ingetokea akatamka ungeweza kutoa comment kama hiyo?Rais hawezi tamka maneno ya kijinga kama hayo
NdioSwali: kama ingetokea akatamka ungeweza kutoa comment kama hiyo?