hadi press release kutoka tayari kuna mtu yuko ndani, hawa tunamalizana nao kimyakimyaHivyo vitisho havina maana, kusanya ushahidi piga kesi ya uhujumu uchumi. Ni upuuzi kuhujumu mega projects
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hadi press release kutoka tayari kuna mtu yuko ndani, hawa tunamalizana nao kimyakimyaHivyo vitisho havina maana, kusanya ushahidi piga kesi ya uhujumu uchumi. Ni upuuzi kuhujumu mega projects
Bwana Kado tuanze na aliyepewa tender ya mabehewa ya royal😀😀😀Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Nina mashaka makubwa na mradi huo wa SGR; na hasa kama 'Chura Kiziwi' kwa miujiza ataendelea kwenye hiyo nafasi aliyopo sasa.Wakati mwalimu Nyerere anang'atuka madarakani aliacha miradi mingi iloyokuwa ikiendeshwa chini ya usimamizi wa Serikali, miradi hiyo ilikufa kwasababu ya kukosekana kwa wasimamizi waadilifu .
Hili linaenda kutokea katika mradi wa treni ya mwendokasi (SGR).
Ubaya ubwelaHuyu anajishitukia tu baada ya kupiga pesa na kuleta treni ya mchongo hakuna anaehujumu wala nini ni mitambo yao mibovu iliyochoka
Baada ya kuona hakuna tija yyt ya kimaendeleo katika miradi na mashirika yaliyokuwa yakiendeshwa na Serikali, Mkapa aliamua kuyabinafsisha, huyo ni mkapa....sembuse mama Samia!Nina mashaka makubwa na mradi huo wa SGR; na hasa kama 'Chura Kiziwi' kwa miujiza ataendelea kwenye hiyo nafasi aliyopo sasa.
Kweli..Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Hivyo vitisho havina maana, kusanya ushahidi piga kesi ya uhujumu uchumi. Ni upuuzi kuhujumu mega projects
Walifanya kwenye dhahabu matokeo yake tumeachiwa Mpango ya Tora Bora na benki Kuu kutokuwa na mapato yatokanayo na uuzaji wadhahabuNdio suluhisho. Serikali ibakie kusimamia ukusanyaji kodi, uendeshaji wafanye wawekezaji