SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Wewe mwepesi sana, wiki haiishi nitakuwa nimeshakulekeza qibla.Gari liliangushwa Chako Ni Chako gaidi Chalii 🐼
Kibajaj akahusika naye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mwepesi sana, wiki haiishi nitakuwa nimeshakulekeza qibla.Gari liliangushwa Chako Ni Chako gaidi Chalii 🐼
Kibajaj akahusika naye
Weka majina wazi tuwajue hao wahujumu.
Watasema jakujafungwa camera, wanasema wanainchi wasilalamike hadi mwaka uishe ndio watakuwa na majibu yote kwa kuwa bado wapo mda wa mpito.
Duuh.Taarifa iliyotolewa na TRC imeeleza kuwa kilichotokea Novemba 3, mwaka huu na kusababisha kusimama kwa treni ya EMU kwa takriban saa 6 ni hujuma kutokana na kukatika ama kukatwa kwa nyaya (catenary) zinazochukua umeme kutoka njia ya umeme kupeleka kwenye treni.
Huu Upumbavu wangeufanya Kwa mzee Magu tukaonaHivyo vitisho havina maana, kusanya ushahidi piga kesi ya uhujumu uchumi. Ni upuuzi kuhujumu mega projects
Mkuu hao ulio wa mention ndio wanao tumwa na ccm kufanya vitendo vya kihuni kama kupigisha shootHapo sasa ndio huwa tunataka kuona kazi ya TISS, JW, POLISI ETC. Tulindieni vitu vyetu vizuri. Nchi inamapungufu mengi ila kwenye mambo ya maana kama SGR tuwe wakali wakuu.
CDMKufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Safi.Ndio
Nasikia Mkapa alikuja jutia baadae uamzi wake huo!Baada ya kuona hakuna tija yyt ya kimaendeleo katika miradi na mashirika yaliyokuwa yakiendeshwa na Serikali, Mkapa aliamua kuyabinafsisha, huyo ni mkapa....sembuse mama Samia!
Dhamira inaweza kuwa njema tatizo wasimamizi. Magufuli alitumbua watu bandarini sio mara moja kiasi cha kufikia hatua ya kuvunjika moyo baada ya kuwa madudu na makandokando yalikuwa ni yaleyale
Lini wanapandishwa kizimbani au yatakuwa yale yale ya kuvuna mabua baada ya kucheka na nyani?Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
Sitashangaa .uataambiwa ppp ndio mpango mzima.Utakuja kusikia wanatafuta muwekezaji!
Kufuatia changamoto za hapa na pale zinazoipata TREN ya SGR boss wa TRC Masanja Kadogosa amesema Kuna njama zinafanywa Kuhujumu mradi huo
Njama hizi hazijaanza Leo ni za muda mrefu na tayari wameshawabaini miongoni mwa wanaowahujumu na watawashughulikia ipasavyo
Source Mwananchi
Mlale unono 😃
hawafanyi bure, wanalipwa pesa na ilitangazwa tenda. sio fadhila.
Una hoja na mawazo mazuri sana kama ilivyokuwa kwa mwalimu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Jakaya, Magufuli na sasa Samia.Nasikia Mkapa alikuja jutia baadae uamzi wake huo!
Ni hivi mkuu 'mbalizil', ni swala la kukosekana kiongozi mwenye dhamira ya kuyafanya hayo kwa ufanisi.
Kwa mfano, swala la kuendesha bandari kwa ufanisi lina ugumu gani kwa kiongozi aliye amua kwa dhati kabisa ifanyike hivyo.
Kila eneo sasa tunasema hatuwezi kufanya sisi wenyewe kwa ufanisi, kweli? Sisi tumekuwa binaadam wa aina gani tusioweza kufanya hata mambo madogo kwa faida yetu wenyewe? Hata vyoo vya mashimo, hadi tuombe msaada wa kuvijenga?
Taifa linapo kuwa na 'mentality' ya aina hiyo, kupata maendeleo sahau kabisa. Taifa litakuwa ni la kutegemea tu wengine toka nje.
Nirudi kwenye mfano wako wa bandari na Magufuli. Pamoja na dhamira yake ya kupata mafanikio hapo bandarini, lakini hakutumia njia sahihi ya kuparekebisha; alikuwa na papala nyingi. Huwezi kubadilisha mahali palipo kuwa na ubovu mwingi kwa muda mrefu kwa njia ya zima moto. Alitakiwa awe na subira, na aelewe ubovu upo wapi hasa, na ni njia zipi zifanyike kudhibiti ubovu huo. Huwezi kubadili hali kwa kutumbua na kuteua watu tu bila kushughulikia mfumo unao endesha ubovu huo.
Kwa sasa nikushukuru mkuu 'mbalizil' kwa jibu/andiko lako hapa. Ninakuelewa vizuri unachosema; lakini sikubaliani na hoja zote zinazo tumika tu kutunyanyasa, kama hilo la "uvivu".Una hoja na mawazo mazuri sana kama ilivyokuwa kwa mwalimu Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Jakaya, Magufuli na sasa Samia.
Hakuna raisi anayeingia Ikulu kwa lengo la kudhoofisha uchumi wa nchi. Tatizo ni misingi iliyojengwa tangu awali ambayo ukishachaguliwa unaikuta imeshakita mizizi yake. Ili urekebishe ni lazima uguse maisha ya watu wote hususani wale walio kwenye idara, sekta na vitengo mbalimbali . Sasa itategemea unagusa maisha ya hao watu katika muktadha upi (hasi au chanya).
Nafikiri ndio sababu mara kadhaa tumetolea nchi kama China huku tukisahau mifumo ya uendeshaji wa nchi kama China ni ujamaa ambao uongozi wake ni sharti utumie mabavu (dikteta) vinginevyo utafeli kama ulivyofeli kwa mwalimu Nyerere.
Kwa uhalisia sera ya nchi yetu kwa sasa ni ubepari ambao misingi yake ni walio nacho wanaongezewa wakati wasio nacho wananyang'anywa hata kile kidogo kilichopo.
Lakini watanzania wengi miongoni mwetu tu wavivu mno! na ukitaka kupata ukweli wa hili fuatilia makazini hasa Serikalini baadhi ya wafanyakazi na watumishi utendaji wao ni chini ya kiwango. Tunapoteza muda mwingi sana kupiga soga badala ya kuchapa kazi. Mbaya zaidi tu wepesi sana kuridhika, mtu akishamiliki nyumba na usafiri anajiona baasi kamaliza.
Mashirika yote aliyoyaacha mwalimu Nyerere yalikufa kwasababu ya uvivu, uzembe, ulafi, ufisadi ,tamaa ya kumiliki Mali ambayo hujaitolea jasho, wizi na kadhalika. Kurekebisha mifumo hii sio jambo jepesi japo inawezekana lakini uongozi ni lazima utumie mabavu na matokeo yake hayataoneka ndani ya muda mfupi
Utaona mkuu, CCM wanahujumu huu mradiUnafika Nyerere day zaidi ya 30 changamoto ni za kawaida kwenye taasisi yoyote hasa ikiwa mpya
Na CCM wanaweza kumuua Kadogosa ili asitoe siriMambo ya Ccm hayo, upo sahihi mkuu.
Kiongozi anayeonesha kuguswa kizalendo ni lazima ashughulikiwe, aidha kwa kuondolewa kwenye hiyo position wanaita 'mabadiliko madogo' ama zengwe kubwa la kutumbuliwa kabisa.