Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

HApo unataka kukata la express bei dar moro ni 20k. Lile linalosimama humo kati bei ni 13k
 
Ulikuwa unakata express
Tatizo TRC nao wame tofautisha muda ukichagua ya saa 6:00 asubuh bac ni Express ordinary ni kuanzia saa 9 asubuhi nibora wange pishanisha kwa muda mchache mfano kutoka ya saa 6: yakwenda dodoma iwekwe ya saa 7: ili kupata hata abiria wanjiani kwenda moro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…