Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

Kadogosa: Nauli ya Treni ya Mchongoko Dar - Dodoma itakuwa tsh 100,000 - 120,000

HABARI WAKUU,
Hii imekaaje wadau,
nilisafiri na kijana wangu kipindi shule zimefunguliwa kutoka dar kwenda moro nililipa sh, 13,000 na kijana wangu ikawa ni 6,500 sasa hivi nikitaka kukata Tiket mtandaon naambiwa gharama ya mimi tu ni 20,000 asa hapa wananivuruga eti shida ipo wapi kwaanaejua tafadhari
Na
HApo unataka kukata la express bei dar moro ni 20k. Lile linalosimama humo kati bei ni 13k
 
NYuma ya hiyo menu unachagua kwanza kama ni express ama ordinary
Kwangu haipo
👇
1723743913616.png
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Ulikuwa unakata express
Tatizo TRC nao wame tofautisha muda ukichagua ya saa 6:00 asubuh bac ni Express ordinary ni kuanzia saa 9 asubuhi nibora wange pishanisha kwa muda mchache mfano kutoka ya saa 6: yakwenda dodoma iwekwe ya saa 7: ili kupata hata abiria wanjiani kwenda moro
 
Back
Top Bottom