Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Asante mkuuIle ya elfu 13 ni ordinary.
Ila hizo za laki ni VIP ama royal class za ile treni ya mchongoko.
Treni za umeme si zimekuja mbili!?
Kuna electric lokomotive ile ilofanyiwa majaribio ikatoka Dar mpk Dom masaa matano kasoro ambayo speed yake mwisho 180km/h.
Na EMU ile treni mchongoko ambayo wanasema speed yake itafika 200km/h.
Nauli zile kubwa ni za EXPRESS EMU mchongoko.
Zile za bei rahisi ni za ile electric lokomotive ordinary.
Sasa wewe chagua unataka mchongoko au ya umeme ya kawaida?