Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Asante mkuuIle ya elfu 13 ni ordinary.
Ila hizo za laki ni VIP ama royal class za ile treni ya mchongoko.
Treni za umeme si zimekuja mbili!?
Kuna electric lokomotive ile ilofanyiwa majaribio ikatoka Dar mpk Dom masaa matano kasoro ambayo speed yake mwisho 180km/h.
Na EMU ile treni mchongoko ambayo wanasema speed yake itafika 200km/h.
Nauli zile kubwa ni za EXPRESS EMU mchongoko.
Zile za bei rahisi ni za ile electric lokomotive ordinary.
Sasa wewe chagua unataka mchongoko au ya umeme ya kawaida?
Unaandika as if hushawai fika Japan.. hizo gharama walioweka zina uhalisia na treni zenyewe? Kama wanataka warudishe pesa za miradi hapo sawa ila gharama haziendani kabisa popote pale usafiri wa treni unakuwa nafuu sana ni Tanzania tu huko gharama zinakuwa kubwa .. maono ya Rais aliyepita JPM ya mfanyakazi anakuwa wanauwezo wa kuwa anaishi Dar anaenda kazini Dodoma yatatumia? Kama kenda Dodoma kutoka Dar ni masaa zaidi ya 2 kwa treni 🚆Mkuu usikariri siyo kila treni inaenda speed ya kobe na ndio maana ikaitwa sgr na siyo mgr, hao wenzetu wana hadi maglev trains zinaenda mpaka zaidi ya 400 kph, hizo nauli ni kwa ajili ya royal na business classes hujalazimishwa kupanda madaraja hayo kuna treni lingine la 30K ordinary
Duuh haya kwa kuwa unanifahamu basi tufanye sijawahi fika Japan wewe ndio umewahi ila hujui kwamba nauli za treni zinategemea na madaraja na aina za treni, kwa mfano huko Japan tuchukulie mfano wa distance ya kutoka Tokyo kuenda Osaka ambayo inakaribiana na distance ya kutoka Dar kuenda Dom kwa huku kwetu, unajua nauli yake ni kiasi gani kwa bullet train kulinganisha na usafiri wa aina zoteUnaandika as if hushawai fika Japan.. hizo gharama walioweka zina uhalisia na treni zenyewe? Kama wanataka warudishe pesa za miradi hapo sawa ila gharama haziendani kabisa popote pale usafiri wa treni unakuwa nafuu sana ni Tanzania tu huko gharama zinakuwa kubwa .. maono ya Rais aliyepita JPM ya mfanyakazi anakuwa wanauwezo wa kuwa anaishi Dar anaenda kazini Dodoma yatatumia? Kama kenda Dodoma kutoka Dar ni masaa zaidi ya 2 kwa treni 🚆
Kwanini wasingeweza wazi kusema hii sio treni ya mwendokasi kama walivyokuwa waaaminisha watu
Huo miradi wa treni hautadumu hata mwaka mmoja .
Tunaomba utuwekee nauli ya treni Japan umbali wa 450km kwa treni.Unaandika as if hushawai fika Japan.. hizo gharama walioweka zina uhalisia na treni zenyewe? Kama wanataka warudishe pesa za miradi hapo sawa ila gharama haziendani kabisa popote pale usafiri wa treni unakuwa nafuu sana ni Tanzania tu huko gharama zinakuwa kubwa .. maono ya Rais aliyepita JPM ya mfanyakazi anakuwa wanauwezo wa kuwa anaishi Dar anaenda kazini Dodoma yatatumia? Kama kenda Dodoma kutoka Dar ni masaa zaidi ya 2 kwa treni 🚆
Kwanini wasingeweza wazi kusema hii sio treni ya mwendokasi kama walivyokuwa waaaminisha watu
Huo miradi wa treni hautadumu hata mwaka mmoja .
Uzuri wa technology kudanganya ni kazi sana. Tokyo-Kyoto ni ¥16,000 ambayo ni $100 ambayo ni Tzs 260,000. Mtu anaesema treni ni rahisi huko majuu hajawahi kusafiri au yuko huko hajawahi kupanda treni.Duuh haya kwa kuwa unanifahamu basi tufanye sijawahi fika Japan wewe ndio umewahi ila hujui kwamba nauli za treni zinategemea na madaraja na aina za treni, kwa mfano huko Japan tuchukulie mfano wa distance ya kutoka Tokyo kuenda Osaka ambayo inakaribiana na distance ya kutoka Dar kuenda Dom kwa huku kwetu, unajua nauli yake ni kiasi gani kwa bullet train kulinganisha na usafiri wa aina zote
Kwa sababu una mawazo hasi na kujiona duni, badilika😎Sijui kwanini nawaza ajali ya huo mchongoko...
Hata wewe?Sijui kwanini nawaza ajali ya huo mchongoko...Mungu tunusuru
Nimemshangaa sana.Kwa sababu una mawazo hasi na kujiona duni, badilika😎
Kwa akili yako pesa ya Japan inafanana thamani na pesa ya Tanzania?Uzuri wa technology kudanganya ni kazi sana. Tokyo-Kyoto ni ¥16,000 ambayo ni $100 ambayo ni Tzs 260,000. Mtu anaesema treni ni rahisi huko majuu hajawahi kusafiri au yuko huko hajawahi kupanda treni.
Miaka 10 nyuma London-Manchester ilikuwa £100-120 wakati bus ilikuwa £15 tu.
View attachment 3016979
Kuna utofauti gani nakupenda bus la aboud 😁 watanzania waliaminishwa watakuwa wanauwezo wa kukaa darasani kazi wanafanyia Dodoma kwa speed ya train .. leo unaeniambia mtu kwenda Dodoma ni masaa 4 kwa Train .. hicho ndicho Magufuli alikitaka? Hizo train zilizoletwa ndizo ambazo Magufuli alizitaka..Mkuu mbona jamaa kaeleza vizuri sana?
Kuna classes ukitaka ordinary lipa 31k mpaka Dodoma masaa manne,ukitaka Express VIP lipia 100k-120k mpaka Dodoma.
Chagua wewe unataka ipi.
Wewe ndio huna akili. Tz ni 100,000 ambayo ni kama $40. Japan ni zaidi ya mara mbili ya hio.Kwa akili yako pesa ya Japan inafanana thamani na pesa ya Tanzania?
Unawezaje kufananisha matumizi ya pesa ya Japan kwa matumizi yao ya kila siku kwa kulinganisha na thamani ya pesa ya Tanzania .
Unakuta mtu anafananisha mtumizi ya US Dollar kwa matumizi ya huko unafananisha na Tanzania.
Halafu tena unaonesha speed ya train ya zaidi ya 380km/hr kulinganisha gharama na train ambayo hata haijakaribia speed ya 160km/hr kama walivyokuwa wanaamini .
Uchambuzi wa Hovyo sana huu..
Kulingana na speed ya hovyo hiyo gharama haziendani kabisa labda kama wanaweka gharama kurudisha pesa za mkopo.
Kwa umeme wao wa route moja wa 360,000 Tsh
Tofautisha mchongo na mchongoko hiyo train sio mchongokoSijui kwanini nawaza ajali ya huo mchongoko...Mungu tunusuru
We ndio huna akili unauwezo mdogo wa kureasonWewe ndio huna akili. Tz ni 100,000 ambayo ni kama $40. Japan ni zaidi ya mara mbili ya hio.
Wewe unafikiri $100 hata USA au £100 UK ni ndogo? Point hapa hakuna sehemu duniani nauli ya treni ni nafuu.
Sawa.We ndio huna akili unauwezo mdogo wa kureason
Umewahi kusafiri!?Kuna utofauti gani nakupenda bus la aboud 😁 watanzania waliaminishwa watakuwa wanauwezo wa kukaa darasani kazi wanafanyia Dodoma kwa speed ya train .. leo unaeniambia mtu kwenda Dodoma ni masaa 4 kwa Train .. hicho ndicho Magufuli alikitaka? Hizo train zilizoletwa ndizo ambazo Magufuli alizitaka..
Wafu watakuwa wanapanda Bus huyo mradi hautakua na uhai kwa miaka 2 mbele