Undetectable
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 1,570
- 2,076
Kweli,kama walikuwa wanafungulia maji ya bwawa la Mtera kwenda mashambani ili tukose umeme unadhani watashindwa kuhujumu huu mradi!Na hicho ndicho wenzenu wanakitaka ili mpande mabasi yao, ndio maana hujuma zimeanza kwenye kuchelewesha mradi,wanahujumu kwenye kuweka nauli kubwa , na sasa watahujumu kwenye kuchelewesha muda ili ionekane halina tofauti kubwa na basi na baada ya hapo watahujumu miundombinu yake na kazi ya treni ya umeme itaishia hapo tutaendelea kupanda mabasi yao
Hakuna kitu kibaya kama kuruhusu wafanya biashara kuwa viongozi na wenye maamuzi ndani nchi
Aah wapi! Tanzania hii? Sahau kabisa..tuliambiwa hivi hivi wakati gesi ya Mtwara inafanyiwa utafiti. Imepatikana ila bado bei ya umeme inapanda.Ndio maana magufuli alisema lazima umeme ushuke bei kwa sababu ikiwa sehemu kubwa unazalishwa kwa maji basi gharama ya uzalishaji lazima itapungua. Uzalishaji kwa njia ya mabwawa ya maji ndio umeme rahisi kabisa. Sasa kina makamba na maharage wake waliona hapo wao wapige kwa kufaidi kwa mishahara na kila aina ya marupurupu manono na upigaji kwa kila namna. Yaani wale wenyewe upungufu mkubwa kwenye gharama ya uzalishaji wa umeme. Wananchi tusikubali ubadhirifu tanesco au serikalini kote. Mitambo itakapokua yote inafanya kazi ni lazima wosia wa magufuli utekelezwe. Tena sio kupunguza bei kwa visenti. Umeme lazima ushuke hadi wazalishaji wa viwandani na watoa huduma waone ulazima kupunguza bei ya bidhaa zao.
Ndugu yangu kwa nauli walizowahi kutangaza/kupendekeza watu saba tu wanalipia umeme wa train hiyo na change inarudishwa! Abiria wengine wote waliobaki watakuwa wanalipia gharama za miundo mbinu!! Upo hapo!!??Basi nauli inaweza kuwa 500-600 humo. Ikizidi hapo.
Eenh Mwenyezi Mungu nisaidia na mimi niwe kati ya wahusika katika uongozi wa nchi hii siku za. Usoni. Serikali inapiga hela safi sana.
Nipo acha nitafute nafasi serikaliniNdugu yangu kwa nauli walizowahi kutangaza/kupendekeza watu saba tu wanalipia umeme wa train hiyo na change inarudishwa! Abiria wengine wote waliobaki watakuwa wanalipia gharama za miundo mbinu!! Upo hapo!!??
Dadafua tuuone huo uongo.Umeme wa wa 336,000Tzsh?.
Huu uongo huu .