Gym utapoteza pesa na results unayotaka unaweza usiipate kwa haraka ..Cha msingi tafuta rafiki mwanamke mwenzio either jirani au kazini etc ambaya anafanya mazoezi ya kutembea au kukimbia join naye ..make sure unapunguza vyakula vya wanga pia ..pia ukiwa nyumbani take 30 min tu fungua YouTube au channel tv za mazoezi fanya mwenyewe ya viungo mazoezi