Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

Kadri mnavyopagawa na makalio na sisi ile miili ya mazoezi inatupeleka kona hiyo hiyo

Gym utapoteza pesa na results unayotaka unaweza usiipate kwa haraka ..Cha msingi tafuta rafiki mwanamke mwenzio either jirani au kazini etc ambaya anafanya mazoezi ya kutembea au kukimbia join naye ..make sure unapunguza vyakula vya wanga pia ..pia ukiwa nyumbani take 30 min tu fungua YouTube au channel tv za mazoezi fanya mwenyewe ya viungo mazoezi

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Chelsea yangu Leo tumebamizwa tena ngoja Nije zangu uku MMU nitulie zangu TU 😭😭😭
 
Aiseee kwa mchakamchaka wa maisha...kila siku lunch inakukuta barabaran unakula hovyohovyo tu...plus chai na michapati....ni hatari buda
unapotea mno Jf bhana.. ona sasa umekuwa 'filifili'
 
Sio lazima ufanye mazoezi daliy fanya mara 3 kwa wiki yale ya ukweli jasho chepe chepe.

Mimi ndio utaratibu wangu

Japo daliy napiga push-ups
 
Back
Top Bottom