BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Kabisa hii kweli mkuu,hata mapenzi ukiacha pwani hakuna kitu....woote wanajifunza kutoka pwani..
Hujagusa Singida na Tabora ndo utajua hujui.hata mapenzi ukiacha pwani hakuna kitu....woote wanajifunza kutoka pwani..
Pwani wanajua kupika changamoto ni pesa, shida ya huko kwingine unaweza enda sehemu kari bado ukakutana na vyakula vya ajabu ajabu tuPwani chakula gani kizuri wanapika tofauti na mikoa mingine
Ni kweli mkuu, kwenye upishi ni shida sana sio tu kanda ya ziwa bali sehemu nyingi za nchi hiii ukiacha pwaniNipo kanda ya ziwa,nakuunga mkono kwa hili,kuchambua mchele tu ni tatzo
Usijaribu kula chinese kanda ya ziwa lakin chinese likipikwa pwani unaweza sahau mboga zote ukawa unataka upikiwe chinese tu kila siku
Chai ya rangi sasa ni kama unakunywa dawa ukiwa kanda ya ziwa
Kanda ya ziwa wanachojua ni kuchanganya dona na unga wa mhogo na wanatoa ugali safi sana
Sijazungumzia aina ya chakula nazungumzia upishi mkuu, Mfano Chai kule pwani inawekwa viongo vya kutoasha sasa huko kwingine wanacho jua ni majani na sukari basi kazi imeishaNachojua nimekula nimeshiba huko wana mbwembwe tu za mapishi.
hafu sio kila unachokipenda wewe mwenzio anakipenda wengine tunapenda ugali na mlenda kuliko kitu chochote tukija huko tutaona tu vitu vya ajabu ajabu tu.
Ukitoa dar mikoa mingine ya pwani kama Lindi, pwani, mtwara, na tanga Kuna umaskini wa kutishaPwani ndio mjini Toka enzi na enzi,mababu wa kipwani washafanya sana biashara ya utumwa kwenda bush huko kuwabeba wasukuma na wanayamwezi na kuja kuwauza pwani Kwa waarabu na wazungu, magorofoa pwani yapo Toka miaka ya 1700 huko wakati huo huko bara watu wanavaa magome. Usishangae pia pwani kua na asili ya misosi sababu bahari ilifanya wapwani wapate recipes nyingi tofauti tofauti
Huo upishi upo sawa tu, kama Pwani wanatumia tangawizi na hiriki na mikoa mingine majani ya chai na sukari maana yake wengi wa hilo eneo wanapenda chukuchuku na ukipenda kutengezewa hiyo ya viungo pia unatengezewa ni kiasi cha kwenda na ingredients zako tu kama ni mamantilie ila hotel zote za mikoa yote zina menu Kuna Tea masala na chai kama chai isiyo na viungo ni wewe tu kuchagua, ila na mazingira nayo tunayokula ndo shida hasa huko mamantilie wanapika vyakula vinavyopatikana sehemu husika kibaya ni uchafu tu ila chakula kisafi wewe kula kulingana na jamii husika.Sijazungumzia aina ya chakula nazungumzia upishi mkuu, Mfano Chai kule pwani inawekwa viongo vya kutoasha sasa huko kwingine wanacho jua ni majani na sukari basi kazi imeisha
Pwani wanajua kupika changamoto ni pesa, shida ya huko kwingine unaweza enda sehemu kari bado ukakutana na vyakula vya ajabu ajabu tu