APPROXIMATELY
JF-Expert Member
- Aug 10, 2021
- 2,035
- 2,715
Asilimia ya wanaume wa pwani nguvu za kiume hakuna,kwa vyakula unavyopikiwa na dada zenu viungo kibao,ndo maana asilimia kubwa wanaume wa pwani mabwabwa kibao,hivi dume kama la mwanza,arusha,mbeya,singida,musoma humpikie mchele na mboga viungo kibao hutegemee atasifia mapishi ya kijinga,tumezoea ugali dona,na mboga zisizo na viungo sana,wanaume wa pwani wanapenda kula vitu vya ajabu mara biriani,mara pilau,chips ndo usiseme,mwanaume wa kweli anakula natural food sio chakula viungo kibao...Upishi uko ukanda wa pwani na kidogo mikoa kadhaa kutoka pwani, baada ya hapo hakuna mapishi, nenda huko Kanda ya Ziwa nenda jiji kama Mwanza hakuna kitu pale, chakula wanajua kujaza nyanya wakizania ndio upishi wenyewe, unakula.chakula kama unakula tope hakina radha. Nenda sijui huko Mara ni balaaa tupu kabisa kwenye upishi.
Kwa kifupi ukitoa ukanda wote wa pwani na jirarani zake huko kwingine hakuna mapishi.
Nilikaa Kigoma nyakati fulani niliondoka bila kula wali, sana nilikuwa nakula Ugari wao wa muhogo basi.