Kadri unavyo iacha pwani ndio kadri unavyo kutana Mapishi ya hovyo

Kadri unavyo iacha pwani ndio kadri unavyo kutana Mapishi ya hovyo

Upishi uko ukanda wa pwani na kidogo mikoa kadhaa kutoka pwani, baada ya hapo hakuna mapishi, nenda huko Kanda ya Ziwa nenda jiji kama Mwanza hakuna kitu pale, chakula wanajua kujaza nyanya wakizania ndio upishi wenyewe, unakula.chakula kama unakula tope hakina radha. Nenda sijui huko Mara ni balaaa tupu kabisa kwenye upishi.

Kwa kifupi ukitoa ukanda wote wa pwani na jirarani zake huko kwingine hakuna mapishi.

Nilikaa Kigoma nyakati fulani niliondoka bila kula wali, sana nilikuwa nakula Ugari wao wa muhogo basi.
Kule Mara ulijaribu Kichuri?
 
Mimi mwenyewe viungo vingi kwenye chakula sipendi iwe ni kwenye pilau, mboga au hata chai achilia nguvu za kiume nikila maviungo mengi lazima niharishe
Wewe ni mgonjwa, unatakiwa umuone daktari umuelezee hiyo shida.
 
Upishi uko ukanda wa pwani na kidogo mikoa kadhaa kutoka pwani, baada ya hapo hakuna mapishi, nenda huko Kanda ya Ziwa nenda jiji kama Mwanza hakuna kitu pale, chakula wanajua kujaza nyanya wakizania ndio upishi wenyewe, unakula.chakula kama unakula tope hakina radha. Nenda sijui huko Mara ni balaaa tupu kabisa kwenye upishi.

Kwa kifupi ukitoa ukanda wote wa pwani na jirarani zake huko kwingine hakuna mapishi.

Nilikaa Kigoma nyakati fulani niliondoka bila kula wali, sana nilikuwa nakula Ugari wao wa muhogo basi.
Ni kweli wanapika vyakula vitamu "zaidi"!Ila wanaongoza kwa um-debwedo na kudeka tofauti na bara kwenye vyakula vitamu kawaida ila watu wake ngangari.
 
Asilimia ya wanaume wa pwani nguvu za kiume hakuna,kwa vyakula unavyopikiwa na dada zenu viungo kibao,ndo maana asilimia kubwa wanaume wa pwani mabwabwa kibao,hivi dume kama la mwanza,arusha,mbeya,singida,musoma humpikie mchele na mboga viungo kibao hutegemee atasifia mapishi ya kijinga,tumezoea ugali dona,na mboga zisizo na viungo sana,wanaume wa pwani wanapenda kula vitu vya ajabu mara biriani,mara pilau,chips ndo usiseme,mwanaume wa kweli anakula natural food sio chakula viungo kibao...
Nguvu za kiume hazipeleki watoto shule
Hazilipi bills
Hazijengi nyumba
Hazikusaidii ukiugua
Hazina msaada ukizeeka

Tafuta hela
 
Nguvu za kiume hazipeleki watoto shule
Hazilipi bills
Hazijengi nyumba
Hazikusaidii ukiugua
Hazina msaada ukizeeka

Tafuta hela
Wewe ela inafaida gani kama upeleki mashine,raha ya hii dunia kitombo,heshima ya mwanaume ipo kitandani una pesa kibao alafu upeleki mashine sasa hizo pesa zinafaida gani???
 
si upishi tu hata huduma. chukulia dodoma kwa mfano, ni nadra sana hoteli au lodge upate chai ya maziwa. unakuta breakfast ngumu kama chakula cha mbwa. chai ya rangi na slesi mbili tu
Hahaaaaa
 
Wapwani wako vizuri kwenye mapishii jikoni na kitandani pia!!
 
Back
Top Bottom