NGOMEKONGWE2021
JF-Expert Member
- Dec 6, 2021
- 616
- 1,225
Kule Mara ulijaribu Kichuri?Upishi uko ukanda wa pwani na kidogo mikoa kadhaa kutoka pwani, baada ya hapo hakuna mapishi, nenda huko Kanda ya Ziwa nenda jiji kama Mwanza hakuna kitu pale, chakula wanajua kujaza nyanya wakizania ndio upishi wenyewe, unakula.chakula kama unakula tope hakina radha. Nenda sijui huko Mara ni balaaa tupu kabisa kwenye upishi.
Kwa kifupi ukitoa ukanda wote wa pwani na jirarani zake huko kwingine hakuna mapishi.
Nilikaa Kigoma nyakati fulani niliondoka bila kula wali, sana nilikuwa nakula Ugari wao wa muhogo basi.
Wewe ni mgonjwa, unatakiwa umuone daktari umuelezee hiyo shida.Mimi mwenyewe viungo vingi kwenye chakula sipendi iwe ni kwenye pilau, mboga au hata chai achilia nguvu za kiume nikila maviungo mengi lazima niharishe
Kukariri maisha ndo kunakokusumbuaWewe ni mgonjwa, unatakiwa umuone daktari umuelezee hiyo shida.
Ujinga wa watu wa pwani wanadhani kuweka maviungo mengi kwenye vyakula ndo kujua kupikaPwani chai tu ndo hawaeki vitungu saumu
Ni kweli wanapika vyakula vitamu "zaidi"!Ila wanaongoza kwa um-debwedo na kudeka tofauti na bara kwenye vyakula vitamu kawaida ila watu wake ngangari.Upishi uko ukanda wa pwani na kidogo mikoa kadhaa kutoka pwani, baada ya hapo hakuna mapishi, nenda huko Kanda ya Ziwa nenda jiji kama Mwanza hakuna kitu pale, chakula wanajua kujaza nyanya wakizania ndio upishi wenyewe, unakula.chakula kama unakula tope hakina radha. Nenda sijui huko Mara ni balaaa tupu kabisa kwenye upishi.
Kwa kifupi ukitoa ukanda wote wa pwani na jirarani zake huko kwingine hakuna mapishi.
Nilikaa Kigoma nyakati fulani niliondoka bila kula wali, sana nilikuwa nakula Ugari wao wa muhogo basi.
Lini umekula tope?unakula.chakula kama unakula tope
Nguvu za kiume hazipeleki watoto shuleAsilimia ya wanaume wa pwani nguvu za kiume hakuna,kwa vyakula unavyopikiwa na dada zenu viungo kibao,ndo maana asilimia kubwa wanaume wa pwani mabwabwa kibao,hivi dume kama la mwanza,arusha,mbeya,singida,musoma humpikie mchele na mboga viungo kibao hutegemee atasifia mapishi ya kijinga,tumezoea ugali dona,na mboga zisizo na viungo sana,wanaume wa pwani wanapenda kula vitu vya ajabu mara biriani,mara pilau,chips ndo usiseme,mwanaume wa kweli anakula natural food sio chakula viungo kibao...
Kwa tabora nakataa.tabora upate nswaswa wa karanga aseeSi dar si pwani,mapishi hovyo tu,siku ukila tabora kwa mkongwe utaona dada zako wanachemsha tu vyakula
Wewe ela inafaida gani kama upeleki mashine,raha ya hii dunia kitombo,heshima ya mwanaume ipo kitandani una pesa kibao alafu upeleki mashine sasa hizo pesa zinafaida gani???Nguvu za kiume hazipeleki watoto shule
Hazilipi bills
Hazijengi nyumba
Hazikusaidii ukiugua
Hazina msaada ukizeeka
Tafuta hela
Hahaaaaasi upishi tu hata huduma. chukulia dodoma kwa mfano, ni nadra sana hoteli au lodge upate chai ya maziwa. unakuta breakfast ngumu kama chakula cha mbwa. chai ya rangi na slesi mbili tu
Yaani Mboka ndo kila kitu.....Si dar si pwani,mapishi hovyo tu,siku ukila tabora kwa mkongwe utaona dada zako wanachemsha tu vyakula
Achana kabisa na mboka aisee si kansolele,Msusa,mzaba si wali..hatariYaani Mboka ndo kila kitu.....
Hapo kwenye mzabagulwa acha kabisa, weka mbali na watoto. Bado nsansa, nswalu na kihembe.Achana kabisa na mboka aisee si kansolele,Msusa,mzaba si wali..hatari
Zanzibar mboga bila mchuzi mwingi haijaliwa tena tunapenda kunywa kabisa na kumwagia kwenye mapembe (wali) yetu hadi uchuruzike yani πππ.Mbona zanzibar wanapika dagaa mchuzi mwingi
Thats trueYaani Mboka ndo kila kitu.....