Umekariri, siyo kila mwanamke ni wa hivyo.
Ingekuwa watu Wana akili kama zako wanawake wenye watoto wasingeolewa.
Umalaya ni hulka ya mtu, kuna wake za watu wanapigwa mjengo hovyo kuliko singles, kuna wanawake wengi tu wanajitunza na wanathamini miili yao.